Aliyekuwa kocha wa yanga afutiwa vibali vya kufanya kazi

Aliyekuwa kocha wa yanga afutiwa vibali vya kufanya kazi

Kwa hiyo una prove alivyotutukana wana yanga ni un educated na tunapiga kelele kama nyani na mbwa? Jamaa ametuchafua sana.anadharau....sisi wengine tumeenda shule...why a generalize ?

Kuna nchi nguruwe wanatumika kufanya kazi nzuri. Huyu haikuwa riziki
 
Kwa hiyo una prove alivyotutukana wana yanga ni un educated na tunapiga kelele kama nyani na mbwa? Jamaa ametuchafua sana.anadharau....sisi wengine tumeenda shule...why a generalize ?
Your interpretation of the facts ! Ndiyo nimekuwa nikisema all along! Uchafuzi. Ni racist.
 
Kwani yamejirudia?.
Si umeona sasa hivi mnyama alivyo tulia?
Yaani timu inaendeshwa kisomi.
Kocha ni kocha,kiongozi ni kiongozi, mchezaji ni mchezaji na shabiki ni shabiki.
Sio yanga mashabiki wanageuka kocha.
Mchezaji kama hawamtaki wanataka kumtoa.
Kocha auseum nae alisemaje juu ya viongozi wa simba wakati anaondoka?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Naye kazidi,yaani dstv ni kitu cha kulilia public kwenye media ?sisi wenyewe dstv tunalipia na kuangalia sasa kocha anayelipwa mkwanja mzuri anapolilia vifurushi vya dstv akili itakuwa haimtoshi
Tatizo sio kulipwa mkwanja mzuri, Kama ilikuwepo kwenye mkataba mngempa tu. Mkataba Ni maandishi, ni haki yake hiyo.

Ni ujinga na primitive way of solvin problem (uswahili) eti kwa kua ana mshahara mkubwa Basi ajinunulie mwenyewe wakati mkataba hausemi hivyo.

Mkiendelea kung'ang'ania hiyo point ya mshahara mkubwa ajilipie basi hayo majina aliyowaita itakua ni halali yenu, hakukosea kabisa
 
Back
Top Bottom