Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo swali ungejibiwa na mwalimu wako wa historia, lakini ulikimbia hilo somo. Anzisha uzi maalum wenye swali hilo utajibiwa. Hapa acha tu-concentrate kwanza na vitabu vikali vya C.S. LewisJe hata kama hazikuwa zinaitwa hivyo je hazikuwepo?
Ni kosa kuumba dunia yenye nchi zaidi ya 100, alafu uzitelekeze zote na kuibariki 1 tu ambayo inaruhusu ushoga alioukataza yeye mwenyewe kwenye vitabu vya dini.Una uthibitisho gani kwamba ni kosa?
Ok mkuu.Hilo swali ungejibiwa na mwalimu wako wa historia, lakini ulikimbia hilo somo. Anzisha uzi maalum wenye swali hilo utajibiwa. Hapa acha tu-concentrate kwanza na vitabu vikali vya C.S. Lewis
Vita ya kirohoHakuna vita hapa. Nimeeleza ukweli tu kwamba Atheist mbobezi, C.S Lewis , aliachana na uongo wa Atheism akaamua kuwa Mkristo. Hapo vita iko wapi, mkuu.
Mungu alipoiumba dunia, He did not create political borders or specific countries; He created land, water, and all living things. The concept of "nchi"(countries) is a human-made political division, So, the existence of over 100 countries is a result of human history, political changes, and agreements, not a direct act of creation by God.Ni kosa kuumba dunia yenye nchi zaidi ya 100, alafu uzitelekeze zote na kuibariki 1 tu
Una uthibitisho gani kwamba ni kosa? Bado haujanijibu Mkuu.Ni kosa kuumba dunia yenye nchi zaidi ya 100, alafu uzitelekeze zote na kuibariki 1 tu ambayo inaruhusu ushoga alioukataza yeye mwenyewe kwenye vitabu vya dini.
Ila kwa vile kuna miungu kibao duniani, basi huenda huyu wa kwao ndio kaamua kuwapendelea wao tu ili kuwahadaa wajinga wawaone kua wao ndio wa muhimu kuliko mtu yoyote hapa duniani.
Habari njema ya kuwa convince kwamba Imani yako na ushahidi wako ni kweli. Imani ni Mambo ya rohoni, yaani soul redemption.I dont think so. Hapa najaribu tu kuwapa Atheists habari njema. Vita vya kiroho havifanyikii hapa.
Muhimu kwake ni kuamini kuna spiritual world beyond our realm.Mungu ≠mungu
Huko Israeli hakuna watu wenye dini?Tuanzie hapo kwanza1. Katika biblia hakuna sehemu Mungu amesema kua aibarikie Tanzania au Kenya na yeye atabarikiwa. Bali tunaona sehemu iliyoandikwa kua aibarikie Israel na waisrael na yeye atabarikiwa.
Sasa iweje Mungu muumba dunia na kila alie katika dunia tukiwemo wewe na mimi achague kumbariki mtu anaeibariki Israel tu, na wayahudi peke yao na sio Tanzania na watanzania?
Je sisi wengine nchi zetu zina laana?
2. Upande mungine wanasema mtu ajifunze kiarabu ili siku ya kiama akaongee na Mungu. Sasa Mungu gani ambae hajui wala asikii lugha nyingine zaidi ya kiarabu?
Dini zimeletwa kwa lengo la kuwafubaza akili watu wenye uelewa mdogo wa kufikiri. Na ndio maana hata huko Israel kwenyewe wenye akili wamekataa kuzipokea dini zenu. Wamewaachieni nyinyi wahaya na wamatumbi muabudu visivyowahusu.
Umesoma Malaki 1:6?God doesn’t care about petty issues, kama kuandika jina lake ambalo binadamu mmelibuni.
Zaburi 68:20Ameokoka
Mungu kwa experience yako ni vitabu (sisemi havina muongozo) muhimu kwenye ibada.Umesoma Malaki 1:6?
It says: "Ikiwa mimi ni Baba, heshima yangu iko wapi? Ikiwa mimi ni Bwana, kicho changu kiko wapi?"
Kuandika jina la Mungu kwa heshima ni sehemu ya kumtukuza na kumheshimu. Kama watu wanaheshimu majina ya viongozi wa dunia hii na kuyaandika kwa usahihi, kwanini tusimheshimu Mungu aliye juu ya vyote?
Halafu kwa taarifa yako, ukiandika mungu unamaanisha shetani.
2 Wakorintho 4:4 SRUV
"...ambao ndani yao mungu wa dunia hii[shetani] amepofusha fikira zao wasioamini, wasiione nuru ya Injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
Duh, "kachumbari" yako nashindwa kuielewa.Mungu kwa experience yako ni vitabu (sisemi havina muongozo) muhimu kwenye ibada.
Mungu wangu ni wakuniaminisha nipo, chagua njia ya kunifuata, muhimu ni kukubali kwenye spiritual world nenda kwenye synagogue, kanisa, msikiti, kuwa Buddha, Hindu na kadhalika; muhimu ni kukubali higher powers.
Kukubali nako na yeye anakuaminisha, ndio maana awali nikaandika mungu (Mungu) ni personal experience. Usicheze wewe mpaka mimi kuamini kanifanyia miujiza (mpaka unajiuliza, how is this possible).