Aliyekuwa mbobezi wa Atheism, ageuka na kuwa Mkristo

Mama unaendeleza vita😀
Hakuna vita hapa. Nimeeleza ukweli tu kwamba Atheist mbobezi, C.S Lewis , aliachana na uongo wa Atheism akaamua kuwa Mkristo. Hapo vita iko wapi, mkuu.
 
Je hata kama hazikuwa zinaitwa hivyo je hazikuwepo?
Hilo swali ungejibiwa na mwalimu wako wa historia, lakini ulikimbia hilo somo. Anzisha uzi maalum wenye swali hilo utajibiwa. Hapa acha tu-concentrate kwanza na vitabu vikali vya C.S. Lewis
 
Una uthibitisho gani kwamba ni kosa?
Ni kosa kuumba dunia yenye nchi zaidi ya 100, alafu uzitelekeze zote na kuibariki 1 tu ambayo inaruhusu ushoga alioukataza yeye mwenyewe kwenye vitabu vya dini.

Ila kwa vile kuna miungu kibao duniani, basi huenda huyu wa kwao ndio kaamua kuwapendelea wao tu ili kuwahadaa wajinga wawaone kua wao ndio wa muhimu kuliko mtu yoyote hapa duniani.
 
Hilo swali ungejibiwa na mwalimu wako wa historia, lakini ulikimbia hilo somo. Anzisha uzi maalum wenye swali hilo utajibiwa. Hapa acha tu-concentrate kwanza na vitabu vikali vya C.S. Lewis
Ok mkuu.
 
Hakuna vita hapa. Nimeeleza ukweli tu kwamba Atheist mbobezi, C.S Lewis , aliachana na uongo wa Atheism akaamua kuwa Mkristo. Hapo vita iko wapi, mkuu.
Vita ya kiroho
 
Ni kosa kuumba dunia yenye nchi zaidi ya 100, alafu uzitelekeze zote na kuibariki 1 tu
Mungu alipoiumba dunia, He did not create political borders or specific countries; He created land, water, and all living things. The concept of "nchi"(countries) is a human-made political division, So, the existence of over 100 countries is a result of human history, political changes, and agreements, not a direct act of creation by God.

Ila nimeishakuambia ulikimbia somo la historia ndio sababu umeuliza maswali hayo. Nakusamehe bure, mkuu.
 
Una uthibitisho gani kwamba ni kosa? Bado haujanijibu Mkuu.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=0vpL0potlBY&pp=ygUPd2hvIGNyZWF0ZWQgZ29k
Sikiliza kwa makini hiyo documentary (it helps, kama ni mfatiliaji wa maswala ya astrophysics) even at elementary level kama unaelewa basic tu (kama mimi).



Kwanini huyu priest (George Lemaître) ambae kapigana world war 1 na kuuwa watu huko vitani. Mwenye uelewa mpana wa particle physics, cosmology na ndio mtu alieleta concept ya ‘bing bang theory’ based on theory of general relativity maths.

Inakuwaje mtu kama ‘George’s Lemaitre’ bado aliamini mungu wakati ni astrophysicist mwenye impact kubwa kwenye science world. mpaka leo.

Ukisikiliza hiyo documentary be it ina bias (leading towards believing) nonetheless it states facts.

Conclusion yake hiyo documentary baada ya kuweka scientific facts, god lives within us (as individual); ni wewe ndio shuhuda wa uwepo wa mungu sio hadithi za mtu mwingine.

Dini ni njia tu za kuongea na mungu alie kichwani kwako, na msingi wa dini ‘Middle East’ myth/tales.

Biblical Old Testament, Torah. aspect of Quran; msingi wake ni Middle East tales, waarabu ndio (waanzilishi wa monotheism).

Jews wa kwanza ni waarabu (na ndio original monotheism religion) wengine ni copy tu.

Nonetheless
Wakristo wa kwanza pia ni waarabu.

Waislamu wa kwanza ni waarabu.

Zote hizo ni Abrahamic religion based on Middle East tales.

Unaabudu wapi it’s based on your socialisation, lakini mungu halisi ni personal experience (na yupo. kweli) kuamini inategemea na experience (kwangu naamini yupo, duh sio mchezo), amenitendea wema sana.
 
I dont think so. Hapa najaribu tu kuwapa Atheists habari njema. Vita vya kiroho havifanyikii hapa.
Habari njema ya kuwa convince kwamba Imani yako na ushahidi wako ni kweli. Imani ni Mambo ya rohoni, yaani soul redemption.
 
Mungu ≠ mungu
Muhimu kwake ni kuamini kuna spiritual world beyond our realm.

God doesn’t care about petty issues, kama kuandika jina lake ambalo binadamu mmelibuni.

Muhimu ni kuamini kuna spiritual powers both bad and good; na yeye ni protector; mengine ni human invention (chagua namna yako ya kumuamini, he/she doesn’t care) muhimu ni kukubali uwepo wake (and he is mighty powerful).
 
Huko Israeli hakuna watu wenye dini?Tuanzie hapo kwanza
 
God doesn’t care about petty issues, kama kuandika jina lake ambalo binadamu mmelibuni.
Umesoma Malaki 1:6?
It says: "Ikiwa mimi ni Baba, heshima yangu iko wapi? Ikiwa mimi ni Bwana, kicho changu kiko wapi?"

Kuandika jina la Mungu kwa heshima ni sehemu ya kumtukuza na kumheshimu. Kama watu wanaheshimu majina ya viongozi wa dunia hii na kuyaandika kwa usahihi, kwanini tusimheshimu Mungu aliye juu ya vyote?

Halafu kwa taarifa yako, ukiandika mungu unamaanisha shetani.
2 Wakorintho 4:4 SRUV
"...ambao ndani yao mungu wa dunia hii[shetani] amepofusha fikira zao wasioamini, wasiione nuru ya Injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
 
Zaburi 68:20
"Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa, Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana."

Luka 19:10
"Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea."

Warumi 10:13
"Kwa maana, kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka."
 
Mungu kwa experience yako ni vitabu (sisemi havina muongozo) muhimu kwenye ibada.

Mungu wangu ni wakuniaminisha nipo, chagua njia ya kunifuata, muhimu ni kukubali kwenye spiritual world nenda kwenye synagogue, kanisa, msikiti, kuwa Buddha, Hindu na kadhalika; muhimu ni kukubali higher powers.

Kukubali kwako na yeye atakuaminisha nipo. Ndio maana awali nikaandika mungu (Mungu) ni personal experience. Usicheze wewe mpaka mimi kuamini kanifanyia miujiza (mpaka unajiuliza, how is this possible).
 
Duh, "kachumbari" yako nashindwa kuielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…