Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
nani kalalamika ? unaweza kuwa mgeni jf labda , Nassari alimrekodi Mnyeti akinunua madiwani wa Chadema na kusambaza video ile , haya yote kasahau ? sasa tukihoji ndio uite kulalamika ?Sawa, lakini mbona mnalalamika sana? Au HANA HAKI YA KUHAMA? hata kama alihama zamani
Sasa hayo machozi ya familia ya Bathlomeo yanahusika vp kipindi hiki?nani kalalamika ? unaweza kuwa mgeni jf labda , Nassari alimrekodi Mnyeti akinunua madiwani wa Chadema na kusambaza video ile , haya yote kasahau ? sasa tukihoji ndio uite kulalamika ?
[emoji2] mbona mnahangaika sana ..
mnachohoji ni nini. huyo ni mke wenu mmemuoa kwamba hawezi kwenda kwa mwingine ..nani kalalamika ? unaweza kuwa mgeni jf labda , Nassari alimrekodi Mnyeti akinunua madiwani wa Chadema na kusambaza video ile , haya yote kasahau ? sasa tukihoji ndio uite kulalamika ?
Wewe ndiye unahangaika kama vipi we kausha tu vinginevyo akanushe mwenyewe kwani hiyo ilikuwa kauli yake.[emoji2] mbona mnahangaika sana ..
Ye mwenyewe keshakimbia.... yuko zake ccm"Mapinduzi kazi ngumu wengi wanayakimbia,tuliobaki tumekamia njia ngumu tunayopitia" - Kalapina
😀😁😄😃😅Nanyi mtarudi na mizigo yenu kwani hata sisi tumebeba ya kwetu (Prof. Hammo Kenyan Comedian)
Umewaza kama mimi make alisema eti hawezi kumuacha mke wake anaumwa eti aingie bungeniHuyu angebaki Chadema ningeshangaa manake wakati anavuliwa ubunge,alitoa sababu ya kipuuzi na ya kitoto sana,yaani kwa kifupi hafai kupewa nafasi yoyote ya uongozi.
hapa vipi?Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa Arusha.
Amesema kuwa haikuwa kazi rahisi hata kidogo kufanya hayo maamuzi na akasema kuwa amekwenda Chama Cha Mapinduzi mchana kweupena si usiku kwa sababu moja tu, anachokifanya na alichokuwa anafanya ni swala lililowazi lenye mwanga na la kuelekeza.
Amesema kuwa hakwenda kuzunguza na wao kwa kuwa wamevaa kijani labda kuna kitu anataka hapana ila ni kwa sababu anaipenda nchi yake amesema angeamua kubaki huko duniani atengeneze pesa au kuitunza familia yake na afanye kazi akiwa huko duniani, wamsome kwenye magezati ya kimaaifa akiwa huko angeweza.
Nasari amekishukuru CHADEMA kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote, kilichopo mbele yake ni kumsaidia Rais John Magufuli.
Siku zote nafanya siasa za kiungwana. Nimeshawaandikia barua Chadema na kiukweli naishukuru Chadema ilinichukua nikiwa mdogo wakanisikiliza wakaona kuna potential ndani yangu. Nawashukuru kwa kunilea nitakuwa mjinga kama sitoikumbuka historia." - Joshua Nassari
View attachment 1500808
Joshua Nassari nakiwa na Willy Qulwi Qambalo
Machoko wa CCM wakikuna naziKamanda Sugu akiwasalimu nyumbu wa cdmView attachment 1501021
We wasema sasa nisameje hichi ni kipindi cha biashara kwa wanasiasaMbona umejibu kwa hasira mkuu,ulikuwa humpendi nini...?
Ashukuru, asi shukuru, hakustahili kwenda kuungana na watu walio mwaga damu za watu walio kuwa wana mpigania apate ubunge.. Hivi ame sahau machozi ya zile familia kweli??? Sija amini bado kwamba Nasari hana upeoILA BORA HUYU DOGO YEYE HAKUTOA MANENO MACHAFU YA KUICHAFUA CHADEMA KAMA WENZAKE AKINA LIJUALIKALI ANAONESHA ANAJITAMBUA KWA KITENDO CHAKE CHA KUSHUKURU ALIPOTOKA