Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Sawa, lakini mbona mnalalamika sana? Au HANA HAKI YA KUHAMA? hata kama alihama zamani
nani kalalamika ? unaweza kuwa mgeni jf labda , Nassari alimrekodi Mnyeti akinunua madiwani wa Chadema na kusambaza video ile , haya yote kasahau ? sasa tukihoji ndio uite kulalamika ?
 
nani kalalamika ? unaweza kuwa mgeni jf labda , Nassari alimrekodi Mnyeti akinunua madiwani wa Chadema na kusambaza video ile , haya yote kasahau ? sasa tukihoji ndio uite kulalamika ?
Sasa hayo machozi ya familia ya Bathlomeo yanahusika vp kipindi hiki?
 
.
Screenshot_20200708-173622.jpg
 
nani kalalamika ? unaweza kuwa mgeni jf labda , Nassari alimrekodi Mnyeti akinunua madiwani wa Chadema na kusambaza video ile , haya yote kasahau ? sasa tukihoji ndio uite kulalamika ?
mnachohoji ni nini. huyo ni mke wenu mmemuoa kwamba hawezi kwenda kwa mwingine ..
 
Huyu angebaki Chadema ningeshangaa manake wakati anavuliwa ubunge,alitoa sababu ya kipuuzi na ya kitoto sana,yaani kwa kifupi hafai kupewa nafasi yoyote ya uongozi.
Umewaza kama mimi make alisema eti hawezi kumuacha mke wake anaumwa eti aingie bungeni
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa Arusha.

Amesema kuwa haikuwa kazi rahisi hata kidogo kufanya hayo maamuzi na akasema kuwa amekwenda Chama Cha Mapinduzi mchana kweupena si usiku kwa sababu moja tu, anachokifanya na alichokuwa anafanya ni swala lililowazi lenye mwanga na la kuelekeza.

Amesema kuwa hakwenda kuzunguza na wao kwa kuwa wamevaa kijani labda kuna kitu anataka hapana ila ni kwa sababu anaipenda nchi yake amesema angeamua kubaki huko duniani atengeneze pesa au kuitunza familia yake na afanye kazi akiwa huko duniani, wamsome kwenye magezati ya kimaaifa akiwa huko angeweza.

Nasari amekishukuru CHADEMA kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote, kilichopo mbele yake ni kumsaidia Rais John Magufuli.

Siku zote nafanya siasa za kiungwana. Nimeshawaandikia barua Chadema na kiukweli naishukuru Chadema ilinichukua nikiwa mdogo wakanisikiliza wakaona kuna potential ndani yangu. Nawashukuru kwa kunilea nitakuwa mjinga kama sitoikumbuka historia." - Joshua Nassari

View attachment 1500808
Joshua Nassari nakiwa na Willy Qulwi Qambalo​

hapa vipi?

wanasiasa buana!!

20200708_200422.jpg
 
ILA BORA HUYU DOGO YEYE HAKUTOA MANENO MACHAFU YA KUICHAFUA CHADEMA KAMA WENZAKE AKINA LIJUALIKALI ANAONESHA ANAJITAMBUA KWA KITENDO CHAKE CHA KUSHUKURU ALIPOTOKA
 
ILA BORA HUYU DOGO YEYE HAKUTOA MANENO MACHAFU YA KUICHAFUA CHADEMA KAMA WENZAKE AKINA LIJUALIKALI ANAONESHA ANAJITAMBUA KWA KITENDO CHAKE CHA KUSHUKURU ALIPOTOKA
Ashukuru, asi shukuru, hakustahili kwenda kuungana na watu walio mwaga damu za watu walio kuwa wana mpigania apate ubunge.. Hivi ame sahau machozi ya zile familia kweli??? Sija amini bado kwamba Nasari hana upeo
 
Hivi hata huko kwa Wazungu tulikoiga demokrasia yao, nako wanasiasa wana hama hama vyama kama huku kwetu?
 
Asisahau kuwashukuru Chadema kwa kumuweka kwenye ramani, akapata Ubunge...akapata na ada ya chuo humo humo.
 
Vp Ile mikanda aliye record na kuipeleka takukuru
Anayo bado.... Dah wanasiasa Hawa [emoji28][emoji28][emoji28]

Ova
 
Back
Top Bottom