digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Angalia Sura Zao Hawajapenda Mamluki Kuvamia Chama Chao..anatoka Mtu upinzani anaingia CCM anakuwa balozi,naibu Waziri,mkuu wa wilaya na Das wao vijana wa ccm wapo wanasugua mabenchi kwenye vijiwe vya kahawa hata bendera za chama hawataki kupandisha wanawaachia Wafungwa.
Hongera sana waache nafasi kwa wengineAliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa Arusha.
Nasari amekishukuru CHADEMA kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote, kilichopo mbele yake ni kumsaidia Rais John Magufuli.
View attachment 1500808
Joshua Nassari nakiwa na Willy Qulwi Qambalo
Hata Chadema hawamtaki.!Taarifa za ndani kabisa kundi kubwa la UVCCM halimtaki Nassari.
Nawasilisha kwa upole wa kiwango cha SGR
Kwa ukilaza walio nao hata hiki unacho wastua bado hawawezi kukuelewa.CCM bado lazima kujiuliza sana,hasa wanachama wake,why wote wanaotoka opposition wanapewa post haraka na wanasisiemu wanabaki kushangilia......inamaana sisiemu hakuna wenye uwezo wa kuwa madc,RC,Ded na madas?
Hawamtaki kwa nini, wamuache hata akawe DAS huko vijijini.
Hawamtaki au wewe humtaki?Taarifa za ndani kabisa kundi kubwa la UVCCM halimtaki Nassari.
Nawasilisha kwa upole wa kiwango cha SGR
Bwana Yuda bila shaka una uzoefu na hizi biashara za vipande vya shekeli.Biashara ilifanyika mwaka jana leo ni makabidhiano tu
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Siasa ni biashara kubwa mno mkuuBwana Yuda bila shaka una uzoefu na hizi biashara za vipande vya shekeli.
Hata kama hawamtaki atapita tu kwa kura ya mwenyekiti. Sababu huyo kwake ni kijana mwenye moto sio wao wamekaria kuvaa uniform zao za kijani utadhani maafisa misituTaarifa za ndani kabisa kundi kubwa la UVCCM halimtaki Nassari.
Nawasilisha kwa upole wa kiwango cha SGR
Anatoka mtu CCM mnampa ticket ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mnawaacha wanachama wenu waliokitengeneza chama mpaka hapo kilipofikia, mtu anahamia leo kesho mnampa aipeperushe bendera ya chama kwenye mbio za Urais, mtu hata chama hakijui
Mbona wewe wenzio wanapewa UDC lakini wewe unabaki kupewa T.shirt na kofia.
Unamaanisha ile ya diocese au kuna nyingine tena???