Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Ilikuwa ni ngumu kumfukuza kwasababu sababu zake za uwongo aliziweka mezani na zina mashiko,ingeonekana ameonewa
Kwa hiyo zile tetesi kwamba. Aliunga juhudi za jiwe kiujanja ujanja kwa kuto kuhudhuria vikao vya bunge, Ila Chadema hapo ndipo nawaona bado hawajakomaa. Huyu alipaswa KUFUKUZWA mapema kwa kosa la kizembe la kutohudhuria vikao vya bunge.
 
Karibu CCM mpya Nassari,at last umejitambua.....
Muda utafika kwa wengine nao WATAJITAMBUA.

TWENDE NA MAGUFULI KIUNZI CHA 2020.
 
Nasaruu ni mfano wa vijana wapumbavu wa nchi hii!! wakati vijana kwa mamilioni wakiteseka na njaa na ukosefu wa ajira yeye akapata ajira kubwa nchi hii inayolipa ya ubunge!! akaidharau akapuuza kuhudhuria vikao wakamtupia virago!

bahati haiji mara mbili!! huyu amekwisha habari yake!! hana mvuto tena hana maajabu!!

kwanza alipata demu wa kizungu aliempenda sana eti lilivyo jinga likamtosa kwa kujaa kiburi cha ubunge pumbavu kabisa huyu kijana!!
Mbona umepanic sana? Kwako wewe kupata demu wa kizungu ni dili kubwa?
 
Binafsi naamini kwamba, "Wanasiasa (Sio SIASA) ni watu wanaosababisha watu wengi kufa kwa depression (nazungumzia SIASA ya Tanzania)". Wanaumiza sana watu kwa ubinafsi wao.

Siku niliyoamua kuacha kuumizwa na siasa ni siku Julius Mtatiro kaunga juhudi. Niliwaza mengi na mwisho nikatamani kama ingewezekana kuwa na maisha bila siasa.

Kwa sasa hata Tundu Lissu aseme anaunga mkono juhudi hainistui.

Naomba Mungu awape kujua maumivu wanayosababisha kwa wananchi.
 
Yani hata yeye anaona aibu kwa alilofanya.
 
Aiseee mambo ya demokrasia haya yanauma kweli!

Hivi intelijensia ya chadema kwanini haikumbaini mapema?
 
Alikuwa naibu waziri kipindi hicho Lyatonga Mrema
Kweli mkuu, si huyu Mrema wa sasa hivi, ubongo ameutupa pale mto Karanga. Wakati wa vita gari ya balozi Peter Kaaya ilipiga kazi kishenzi.
 
Mbona wewe wenzio wanapewa UDC lakini wewe unabaki kupewa T.shirt na kofia.

Bora ata wanaopewa tshirt na kofia KUB anawapa nn hata nyuzi hawapi zaidi ya kulewa na pesa zenu na kuanguka kwenye ngazi.
 
Ukiangalia alivyopokelewa utajua tu huyu kijana anarudi tena kwenye kiti chake cha ubunge kupitia CCM mpya ya Magufuli.
Hawampi hata uenyekiti wa mtaa alishakuwa Used, chezea maCCM wewe!
 
Back
Top Bottom