Daaaaah hii kitu ilikuwa si ya kitoto ase, nakumbuka waziri wa mambo ya ndani ndo alipooza ile vita.Hiyo hiyo aisee kule Meru mambo ya Amec
Kuna mijitu haina shukrani. Haiangalii iliko toka.Mbona hasira mkuu? Kwani amevunja katiba ipi kuhama chama?
Kwa hiyo zile tetesi kwamba. Aliunga juhudi za jiwe kiujanja ujanja kwa kuto kuhudhuria vikao vya bunge, Ila Chadema hapo ndipo nawaona bado hawajakomaa. Huyu alipaswa KUFUKUZWA mapema kwa kosa la kizembe la kutohudhuria vikao vya bunge.
Mbona umepanic sana? Kwako wewe kupata demu wa kizungu ni dili kubwa?Nasaruu ni mfano wa vijana wapumbavu wa nchi hii!! wakati vijana kwa mamilioni wakiteseka na njaa na ukosefu wa ajira yeye akapata ajira kubwa nchi hii inayolipa ya ubunge!! akaidharau akapuuza kuhudhuria vikao wakamtupia virago!
bahati haiji mara mbili!! huyu amekwisha habari yake!! hana mvuto tena hana maajabu!!
kwanza alipata demu wa kizungu aliempenda sana eti lilivyo jinga likamtosa kwa kujaa kiburi cha ubunge pumbavu kabisa huyu kijana!!
😂😂Mbona umepanic sana? Kwako wewe kupata demu wa kizungu ni dili kubwa?
Daaaaah hii kitu ilikuwa si ya kitoto ase, nakumbuka waziri wa mambo ya ndani ndo alipooza ile vita.
Sisi samaki huyo wa chumvi tunamwita KAYABO.Batt
Siyo Biashara Tena. Zamani Samaki Akichina. Tuna mpaka Chumvi nyingi halafu unamtupa kwenye bati akauke wanaita Ng'onda
Kweli mkuu, si huyu Mrema wa sasa hivi, ubongo ameutupa pale mto Karanga. Wakati wa vita gari ya balozi Peter Kaaya ilipiga kazi kishenzi.Alikuwa naibu waziri kipindi hicho Lyatonga Mrema
Mbona wewe wenzio wanapewa UDC lakini wewe unabaki kupewa T.shirt na kofia.
Hawampi hata uenyekiti wa mtaa alishakuwa Used, chezea maCCM wewe!Ukiangalia alivyopokelewa utajua tu huyu kijana anarudi tena kwenye kiti chake cha ubunge kupitia CCM mpya ya Magufuli.