Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

Huyu bwege ndie alisababisha lile kundi likafa, wenzie walikimbia aibu yake.
Hao waliobaki walishindwa nini kuendeleza bila chimano? Useme tu kuwa kundi lilibebwa na chimano, na alikua anapendwa na kufuatiliwa yeye tu na mashabiki, baada ya kuachana wakaona wao waliobaki hawawezi kumudu pekee yao. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…