Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Hivi?
Tuli Mwambapa atamsaidia kampeni?
Kumbe issue za mademu. Hata Magufuli alikuwa na issue za kina Sundi,Kabula ila alipita. Issue za mademu kwa siasa za Tanzania hazina mashiko. Maana Ujingi/Uzinzi ni sehemu ya maisha yetu. Halafu hiyo issue ya Tuli haina ushahidi wowote. Hata kama ingekuwa na ushahidi kumbuka Magufuli kazaa kabisa na Sundi Malomo. Ila kwa sasa MAGUFULI ndo Rais.
 
Sundi malomo ndo nani mkuu umeniacha kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…