Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasubiri kuwa KUB bungeniMbatia bye bye. Maana tusidanganyane pesa ni kama magnet inavuta watu bwana.
Yatatokea wapi ikiwa Vyombo vyote vya habari vinaandika habari mojaHuu ndio mwisho wa heshima ya Bwana Kimei.Siasa ni chafu, na madudu yakesasa hadharani.
Wizara sensitive hio hawezi kaa apo
Anaamini ktk makubaliano yake na jiwesasa hivi Mbatia ile kipara inamtoka jasho
Ni mbobezi kweli haswa ila tu, nasema hawezi kuwa waziri wa fedhaHujui kwamba Kimeo katokea BOT kabla ya kuja crdb
nakubaliana na wewe hapa..Madudu yapi ?Wengine wanafanya madudu kisomi. Hata ukimtafuta hupati traces. Ni kama mzee wa vijisenti huwezi dhibitisha madudu yake.
Mkuu mbatia kakimbiaHuku ndio kuna mbatia,pia kuna mrema
Mbatia bye bye. Maana tusidanganyane pesa ni kama magnet inavuta watu bwana.
Hivi?Madudu yapi ?Wengine wanafanya madudu kisomi. Hata ukimtafuta hupati traces. Ni kama mzee wa vijisenti huwezi dhibitisha madudu yake.
Huu ndio mwisho wa heshima ya Bwana Kimei.
Siasa ni chafu, na madudu yake sasa hadharani.
Kumbe issue za mademu. Hata Magufuli alikuwa na issue za kina Sundi,Kabula ila alipita. Issue za mademu kwa siasa za Tanzania hazina mashiko. Maana Ujingi/Uzinzi ni sehemu ya maisha yetu. Halafu hiyo issue ya Tuli haina ushahidi wowote. Hata kama ingekuwa na ushahidi kumbuka Magufuli kazaa kabisa na Sundi Malomo. Ila kwa sasa MAGUFULI ndo Rais.Hivi?
Tuli Mwambapa atamsaidia kampeni?
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Duhhhh.....
Inasikitisha sana, maana naona mzee anajielekeza kibla
Sundi malomo ndo nani mkuu umeniacha kidogo?Kumbe issue za mademu. Hata Magufuli alikuwa na issue za kina Sundi,Kabula ila alipita. Issue za mademu kwa siasa za Tanzania hazina mashiko. Maana Ujingi/Uzinzi ni sehemu ya maisha yetu. Halafu hiyo issue ya Tuli haina ushahidi wowote. Hata kama ingekuwa na ushahidi kumbuka Magufuli kazaa kabisa na Sundi Malomo. Ila kwa sasa MAGUFULI ndo Rais.
Nenda kwenye post za 2015 zinazohusu JPM.Sundi malomo ndo nani mkuu umeniacha kidogo?
Haviitwi viti maalumNa asahau viti maalum. Maana Magufuli sio JK.
Ndo viti maalum vya Rais.Haviitwi viti maalum
Wanaitwa WABUNGE WA KUEULIWA (HAWAZIDI 10)