Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

jina tu lenyewe lina mtetemo..huyo ushindi mchana kweupeeeeeeee
 
Safarii hii ngoja niandaee ka cantee kangu niawapatiee mgombee apige nayo kampeni dili zur tu hili
 
Huyu bila shaka anagombea kimkakati, kuna wengine wanagombea kimkakati kifupi tayari kuna maamuzi mahala.. kama ni hivyo ni bora wale mbogamboga wasio na faida bungeni mkawatoa wote ili tupate watu ambao wanaweza kuongea vitu vyenye mashiko bungeni na hata kumpa Mh Rais pool kubwa ya watu wakuteua kwenye nyadhifa za uwaziri nk..
 
Alafu wazee kama hawa akina Kimei... Wanawaambia vijana wajiajiri..!!
Shiit kabisa...
 
Picha ya sundi malomo pls[emoji41]
 
CEO/MD alikuwa anachezea Mabilioni ya Shilling na Dollar leo anaenda kukimbizana na Tsh 12m per month.

Huo mkopo wa 800m+ alikuwa na uwezo wa kuupata pale CRDB!!
Sometimes pesa si kitu,Bali power.
Kwani Trump na mapesa yake mbona kajitosa kwenye siasa?
 
Ukiachilia mbali uadilifu wa mtu, ninajenga hoja yangu kwa kuzingatia ujuzi, uzoefu na ezposure ya mtu.
Kuna baadhi ya watu ukisikia wamegombea unapata raha kwamba ni watu serious pengine wanaweza kuwa na mchango kwa taifa. Tuache muda utazungumza.
 
Sidhani kama atachukua form.2015 JK alimpitisha,safari hii Magufuli lazima ale kichwa.Naona atajiongeza mwenyewe na hatachukua form.
This comment has been reserved for future use.
 
Hata akichaguliwa kuwa Mbunge, bado kimei hana threat yoyote kwa Dr Mpango pale wizara ya fedha.

Ninachoona kama kimei ataukwaa ubunge anaweza akapewa wizara ya viwanda na biashara.
Mtu kashazeeka atadeliver nini kipya..
Hivi kupumzika na familia zao na kutour different parts of the world not to mention TZ wanaona nini!?!
Nasikia na Wasira nae. Hivi ngozi nyeusi. Yani ni kweli kwamba hatuwezi kuwa tayari kwa retirement.

Too Bad. Too Bad.
 
Magumashi take je?
Posho,marupu rupu je?
Dogo jua siasa inalipa Sana...Ana marupurupu kibao,bila kusahau usafiri,mlinzi,dereva,mpiga picha,katibu,msaidizi binafsi,nyumba mpaka mafriji na makochi unanunuliwa
 
Ukiachilia mbali uadilifu wa mtu, ninajenga hoja yangu kwa kuzingatia ujuzi, uzoefu na ezposure ya mtu.
Kuna baadhi ya watu ukisikia wamegombea unapata raha kwamba ni watu serious pengine wanaweza kuwa na mchango kwa taifa. Tuache muda utazungumza.
Tatizo ni hicho chama chake, kwani unafikiri hamna maprofesa wabobezi na wenye exposure? Ukishaingia Lumumba tu ubobezi unaisha.
 
Dogo jua siasa inalipa Sana...Ana marupurupu kibao,bila kusahau usafiri,mlinzi,dereva,mpiga picha,katibu,msaidizi binafsi,nyumba mpaka mafriji na makochi unanunuliwa
Sijabisha, ila ww hukunielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…