raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
bado sijamsikia nape
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr. Mpango ajipange uwaziri wa Fedha
Picha ya sundi malomo pls[emoji41]Kumbe issue za mademu. Hata Magufuli alikuwa na issue za kina Sundi,Kabula ila alipita. Issue za mademu kwa siasa za Tanzania hazina mashiko. Maana Ujingi/Uzinzi ni sehemu ya maisha yetu. Halafu hiyo issue ya Tuli haina ushahidi wowote. Hata kama ingekuwa na ushahidi kumbuka Magufuli kazaa kabisa na Sundi Malomo. Ila kwa sasa MAGUFULI ndo Rais.
Nenda Dodoma office za kamisheni ya madini utamwona omba kumuona afisa migodi.Picha ya sundi malomo pls[emoji41]
Sometimes pesa si kitu,Bali power.CEO/MD alikuwa anachezea Mabilioni ya Shilling na Dollar leo anaenda kukimbizana na Tsh 12m per month.
Huo mkopo wa 800m+ alikuwa na uwezo wa kuupata pale CRDB!!
Waziri 20mHamzidi waziri ww hata katibu mkuu hamfikii
MaCEO wa kenya sawa sio MaCEO WA BONGO
This comment has been reserved for future use.Sidhani kama atachukua form.2015 JK alimpitisha,safari hii Magufuli lazima ale kichwa.Naona atajiongeza mwenyewe na hatachukua form.
ThubutuuuChenge Akili kubwa ndo mwanasiasa aliyebaki wa CCM halambi miguu...hivi amechukua fomu? Maana naona atakatwa
Yess pia usisahau 90m for shangingi[emoji41]kumbe hawa waheshimiwa sana wanaweza pata milioni 800 ?
Magumashi take je?Waziri 20m
Mtu kashazeeka atadeliver nini kipya..Hata akichaguliwa kuwa Mbunge, bado kimei hana threat yoyote kwa Dr Mpango pale wizara ya fedha.
Ninachoona kama kimei ataukwaa ubunge anaweza akapewa wizara ya viwanda na biashara.
Kumbe kamuweka sehem nzuri baby mamaNenda Dodoma office za kamisheni ya madini utamwona omba kumuona afisa migodi.
Dogo jua siasa inalipa Sana...Ana marupurupu kibao,bila kusahau usafiri,mlinzi,dereva,mpiga picha,katibu,msaidizi binafsi,nyumba mpaka mafriji na makochi unanunuliwaMagumashi take je?
Posho,marupu rupu je?
Tatizo ni hicho chama chake, kwani unafikiri hamna maprofesa wabobezi na wenye exposure? Ukishaingia Lumumba tu ubobezi unaisha.Ukiachilia mbali uadilifu wa mtu, ninajenga hoja yangu kwa kuzingatia ujuzi, uzoefu na ezposure ya mtu.
Kuna baadhi ya watu ukisikia wamegombea unapata raha kwamba ni watu serious pengine wanaweza kuwa na mchango kwa taifa. Tuache muda utazungumza.
Sijabisha, ila ww hukunielewa.Dogo jua siasa inalipa Sana...Ana marupurupu kibao,bila kusahau usafiri,mlinzi,dereva,mpiga picha,katibu,msaidizi binafsi,nyumba mpaka mafriji na makochi unanunuliwa