Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huyu Kuna namnaNi noma
Nijuavyo mimi mfungwa akifa akiwa anatumikia kifungo chake, huzikwa na magereza.Atazikwa uraiani au huko gerezani?
Miaka ile ya uongozi wa yule mzee kuna mhindi "alipiga",kesi ilivyo anza akatorokea UK. Haukupita muda akatangazwa amefariki, jeneza hilo eapoti ya Ukonga,mara gari hili hapa,likabeba jeneza moja kwa moja Kisutu.....,akazikwa.Huyu Kuna namna
Huyu alikuwa anakula peke yake bila kuwageia wakubwa.Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Alikuwa amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro District mnamo Septemba 2025.
Rufaa yake ilisikilizwa na High Court of Tanzania, ambayo mwezi Februari 2026 ilithibitisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela.
Inadaiwa kuwa Gunzah alifariki dunia tarehe 2 Machi 2026 akiwa chini ya uangalizi wa Jeshi la Magereza katika mji wa Dodoma, baada ya kuugua ghafla.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na uongozi wa Halmashauri ya Simanjiro. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameeleza masikitiko yao kufuatia kifo chake, wakisema licha ya hukumu yake, alikuwa mtu mwenye ushirikiano mzuri katika jamii nje ya majukumu yake ya kazi.
Chanzo: Gazeti la The Citizen
Mwizi ukisogezewa sura ukaambiwa huyu ni Mwizi Jambazi wa kutisha wewe unaweza ukabisha sababu hujakutana na matukio yake, hata wauza unga ni watu poa sana ukisogezewa ukaambiwa huyu anauza Poda unakataa sababu muonekano wake na unachoambiwa wewe ushajijengea picha yako ambayo ni tofauti kabisa na uhalisia ulivyo Wezi na Majambazi wengi usiowajua ni watu smart sana kuanzia muonekanoSura isiyo na makuu Wala haonyeshi kuwa mpigaji maskini. Mipapa inapeta tu.
Mwizi ukisogezewa sura ukaambiwa huyu ni Mwizi Jambazi wa kutisha wewe unaweza ukabisha sababu hujakutana na matukio yake, hata wauza unga ni watu poa sana ukisogezewa ukaambiwa huyu anauza Poda unakataa sababu muonekano wake na unachoambiwa wewe ushajijengea picha yako ambayo ni tofauti kabisa na uhalisia ulivyo Wezi na Majambazi wengi usiowajua ni watu smart sana kuanzia muonekano
Duuh, kumbe ndio hayo?Nijuavyo mimi mfungwa akifa akiwa anatumikia kifungo chake, huzikwa na magereza.
Ndugu mtakabidhiwa nguo zake siku atakapomaliza kutumikia namba(adhabu) yake ya kifungo.