TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, afariki dunia akiwa gerezani

hope aliwahi andika urithi mapema
 
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Alikuwa amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro District mnamo Septemba 2025.

Rufaa yake ilisikilizwa na High Court of Tanzania, ambayo mwezi Februari 2026 ilithibitisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela.

Inadaiwa kuwa Gunzah alifariki dunia tarehe 2 Machi 2026 akiwa chini ya uangalizi wa Jeshi la Magereza katika mji wa Dodoma, baada ya kuugua ghafla.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na uongozi wa Halmashauri ya Simanjiro. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameeleza masikitiko yao kufuatia kifo chake, wakisema licha ya hukumu yake, alikuwa mtu mwenye ushirikiano mzuri katika jamii nje ya majukumu yake ya kazi.

Chanzo: Gazeti la The Citizen

Hao jamaa walio nyuma yake, mmoja mkono shavuni, mwingine ameziba mdomo, usikute ndo waliokula pesa na bado wameendelea kubaki hapo halmashauri.
 
Mkurugenzi inabaki na tai tu na shati jeupe:
nchi haiwezi kuendelea kwa hiyo hali:
Ndio maana wakurugenzi wengi wanawaza kupata pesa zao tu:
huwa wanaenda hata safari za wasafisha vyoo vya umma, wakiwaacha wasafisha vyoo wenyewe🤣🤣🤣:
Mkurugenzi anakuwa na njaa kuliko mlinzi wa geti la choo cha Kitongoji cha watoto wachanga wakike...!🤣🤣🤣
Acha dharau aiseee ...
 
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Alikuwa amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro District mnamo Septemba 2025.

Rufaa yake ilisikilizwa na High Court of Tanzania, ambayo mwezi Februari 2026 ilithibitisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela.

Inadaiwa kuwa Gunzah alifariki dunia tarehe 2 Machi 2026 akiwa chini ya uangalizi wa Jeshi la Magereza katika mji wa Dodoma, baada ya kuugua ghafla.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na uongozi wa Halmashauri ya Simanjiro. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameeleza masikitiko yao kufuatia kifo chake, wakisema licha ya hukumu yake, alikuwa mtu mwenye ushirikiano mzuri katika jamii nje ya majukumu yake ya kazi.

Chanzo: Gazeti la The Citizen

Hakuna vitu vinaua haraka kama
Hofu
Kukata tamaa
Na kupoteza tumaini
 
Heh! Atazikwa na familia au magereza?
 
Huyu atakuwa aliingiza tamaa ya kutaka kula peke yake bila kuwamegea wenzake, mwishowe wakamchoma.
 
Nijuavyo mimi mfungwa akifa akiwa anatumikia kifungo chake, huzikwa na magereza.
Ndugu mtakabidhiwa nguo zake siku atakapomaliza kutumikia namba(adhabu) yake ya kifungo.
Muda wa kifungo ukiisha, mnaenda fukua kaburi mnamchukua na kwenda kuzika kwenu?
 
Nakubaliana na wewe, tofauti na John Pima wa Arusha jiji alikuwa anakula na wakubwa. Tukazungwa kidogo 20yrs rufaa akashinda na leo ni DED
Yah Pima ni AIBU kwa kweli...pia hukumu hii ya "MCHONGO" ilimdhalilisha Former PM
 
Back
Top Bottom