Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,793
- 6,569
Hiyo inaweza kuwa ngumu kidogo.Muda wa kifungo ukiisha, mnaenda fukua kaburi mnamchukua na kwenda kuzika kwenu?
Kumbuka hawa wafungwa wa muda mrefu huwa wanahamishwa magereza tofauti tofauti so kama ndugu sio wafuatiliaji kujua yupo/alikua gereza lipi pindi mauti yalipomkuta na hatimae kuzikwa, ndo hapo mtajikuta mnaambulia nguo tu siku ya mwisho.