Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nakubaliana na wewe, tofauti na John Pima wa Arusha jiji alikuwa anakula na wakubwa. Tukazungwa kidogo 20yrs rufaa akashinda na leo ni DEDHuyu alikuwa anakula peke yake bila kuwageia wakubwa.
Ukiona CCM wamemfunga mwenzao kis mambo ya rushwa na ufisadi basi Kuna uwalakini hapo
Ukiambiwa huyo ni Katekista wa Kigango cha Parokia huko kwao huwezi amini unaganda tu kusema huyu Danny Trejo ni sura ya kaka Jambazi huyu ni Jambazi kuuView attachment 3551351alitaka awe na sura ya kazi kama ya Danny Trejo mzee wa Machete aka Mr. Tortuga.
Hao jamaa walio nyuma yake, mmoja mkono shavuni, mwingine ameziba mdomo, usikute ndo waliokula pesa na bado wameendelea kubaki hapo halmashauri.Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Alikuwa amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro District mnamo Septemba 2025.
Rufaa yake ilisikilizwa na High Court of Tanzania, ambayo mwezi Februari 2026 ilithibitisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela.
Inadaiwa kuwa Gunzah alifariki dunia tarehe 2 Machi 2026 akiwa chini ya uangalizi wa Jeshi la Magereza katika mji wa Dodoma, baada ya kuugua ghafla.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na uongozi wa Halmashauri ya Simanjiro. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameeleza masikitiko yao kufuatia kifo chake, wakisema licha ya hukumu yake, alikuwa mtu mwenye ushirikiano mzuri katika jamii nje ya majukumu yake ya kazi.
Chanzo: Gazeti la The Citizen
Naona watu wanawahi tu ahera. Wasije wakawamaliza mabikra warembo Mimi nikaambulia makapi.Akamsalimie Ayatollah babu yake secretarybird
Acha dharau aiseee ...Mkurugenzi inabaki na tai tu na shati jeupe:
nchi haiwezi kuendelea kwa hiyo hali:
Ndio maana wakurugenzi wengi wanawaza kupata pesa zao tu:
huwa wanaenda hata safari za wasafisha vyoo vya umma, wakiwaacha wasafisha vyoo wenyewe🤣🤣🤣:
Mkurugenzi anakuwa na njaa kuliko mlinzi wa geti la choo cha Kitongoji cha watoto wachanga wakike...!🤣🤣🤣
Hakuna vitu vinaua haraka kamaAliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Alikuwa amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro District mnamo Septemba 2025.
Rufaa yake ilisikilizwa na High Court of Tanzania, ambayo mwezi Februari 2026 ilithibitisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela.
Inadaiwa kuwa Gunzah alifariki dunia tarehe 2 Machi 2026 akiwa chini ya uangalizi wa Jeshi la Magereza katika mji wa Dodoma, baada ya kuugua ghafla.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na uongozi wa Halmashauri ya Simanjiro. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameeleza masikitiko yao kufuatia kifo chake, wakisema licha ya hukumu yake, alikuwa mtu mwenye ushirikiano mzuri katika jamii nje ya majukumu yake ya kazi.
Chanzo: Gazeti la The Citizen
Heh! Atazikwa na familia au magereza?Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Alikuwa amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro District mnamo Septemba 2025.
Rufaa yake ilisikilizwa na High Court of Tanzania, ambayo mwezi Februari 2026 ilithibitisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela.
Inadaiwa kuwa Gunzah alifariki dunia tarehe 2 Machi 2026 akiwa chini ya uangalizi wa Jeshi la Magereza katika mji wa Dodoma, baada ya kuugua ghafla.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na uongozi wa Halmashauri ya Simanjiro. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameeleza masikitiko yao kufuatia kifo chake, wakisema licha ya hukumu yake, alikuwa mtu mwenye ushirikiano mzuri katika jamii nje ya majukumu yake ya kazi.
Chanzo: Gazeti la The Citizen
Kwamba Faiza ndo atanizamisha kwenye shimo lake la tewa?! 🤔.Ww mpaka ufike peponi utamkuta FaizaFoxy Ndo bikra ulieandaliwa umbandue, labla ufe muda huu
Ndo utapewa akiwa bikra ujilieKwamba Faiza ndo atanizamisha kwenye shimo lake la tewa?! 🤔.
Hapana bhana!
Yule hata akiwa bikra unatakiwa kuwa na dushelele kama la tembo.Ndo utapewa akiwa bikra ujilie
Muda wa kifungo ukiisha, mnaenda fukua kaburi mnamchukua na kwenda kuzika kwenu?Nijuavyo mimi mfungwa akifa akiwa anatumikia kifungo chake, huzikwa na magereza.
Ndugu mtakabidhiwa nguo zake siku atakapomaliza kutumikia namba(adhabu) yake ya kifungo.
Yah Pima ni AIBU kwa kweli...pia hukumu hii ya "MCHONGO" ilimdhalilisha Former PMNakubaliana na wewe, tofauti na John Pima wa Arusha jiji alikuwa anakula na wakubwa. Tukazungwa kidogo 20yrs rufaa akashinda na leo ni DED