Hiyo inaweza kuwa ngumu kidogo.
Kumbuka hawa wafungwa wa muda mrefu huwa wanahamishwa magereza tofauti tofauti so kama ndugu sio wafuatiliaji kujua yupo/alikua gereza lipi pindi mauti yalipomkuta na hatimae kuzikwa, ndo hapo mtajikuta mnaambulia nguo tu siku ya mwisho.