Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

Hivi mnataka fei aongee nin na yanga? Hata akienda kam kaamua kuvunja yanga watafanya nn binafsi naona yanga Kuna kitu wanaforce

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Yeye ndiye aliyetoa maamuzi ya kuahirisha mechi!?
Unaelewa kazi ya mwana sheria ni nini?

Jambo lolote linalohusu sheria likionekana kuwa na dosari mtu wa kwanza kumnyooshea kidole ni huyo mwanasheria
 
Anachosema huyo akipo kwenye mkataba,kwamba Azam wakae au Fei akae na Yanga.
kwa kifupi mkataba wa Fei na Yanga ulikua na matobo ambayo Fei na Azam wameyatumia kufanikisha dili lao.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Fei kamwaga mboga chap nakusepa

Uto tunalia lia sasa.
 
Basi nalazimika kuamini na wewe unaongea maneno matupu.Ungekuwa na uhakika na hicho kipengele kuwa kipo ungekiweka hapa.
Sawa mkuu sio lazima huamini maana sipo kwajili ya kukuaminisha.
 
Anachosema huyo akipo kwenye mkataba,kwamba Azam wakae au Fei akae na Yanga.
kwa kifupi mkataba wa Fei na Yanga ulikua na matobo ambayo Fei na Azam wameyatumia
Mpaka Sasa hivi azam hawajamtangaza kama mchezaj wao unasemaje wamefanikisha kumshajili achana na stori za vijiweni
 
Hicho kipengele cha masaa 24 ndo ukiandika barua na kuweka mshahara wa miezi mitatu unakuwa tayari umeacha kazi? Hivi kumbe walipofaulu 26 pekee ilikuwa sahihi?
Mkuu mbona unanitolea uvivu. Mimi nimeuliza kama swali wala sina uelewa na masula ya sheria.
Merry Christmas to you!
 
Huyu Mvela ndo aliyelidumaza soka LA Iringa kwa figisu zake za kijinga,silipendi KBS hili dubwana
 
Mwanasheria uchwara nakumbuka kuna kipindi Utopolo waligomea darby alifanya nini akae kimya
 
Free Agent mwaka 1 mmoja na nusu? Mkataba unaingiwa na pande mbili na hata ukivinjwa lazima pande mbili zikae chini bila kusahau third party ambayo inataka kuvunja huo mkataba.
 
Mkuu, ukisitisha mkataba unakuwa free, hakuna haja ya mazungumzo tena. Sasa kama ni mali ya Yanga siku zote hata baada ya kufanya termination, hicho kipengele kina maana gani hapo?
Husizani rahisi kama ndio hivyo hata Madrid wangefanya uhuni huo kwa Ronaldo na wasingeshindwa,ila badae wange gonna ukuta tu.

Wakati unapoingia mkataba zinazo husika pande mbili na wakati wa kuuvunjwa unavunjwa na pande mbili, sio kwa sababu unahela unavunja.Kuna sheria zina mlinda mchezaji na club inayo msajili.
 
Hata haujaelewa kilichoongelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…