Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Wewe ndio unaakili za kuvukia Barabara nenda Katoe elimu Kwa wachezaji kama amekoseaUna akili mbovu nani amedhulumiwa? Kama anaona mil 4 ni ndogo kwanini alikubali kusaini mkataba?
Wachezaji wetu shule imewapitisha kushoto
Jibu amedhulumiwa nini? Naona unapuyanga puyangaWewe ndio unaakili za kuvukia Barabara nenda Katoe elimu Kwa wachezaji kama amekosea
Hatari sana hii.. Huyo kiongozi wa TFF ni bora angekaa kimya.Huyo amesema mazungumzo, lakini mazungumzo ni iwapo kuna klabu inammiliki mchezaji. Kwa sakata hili, hakukuwa na haja ya mazungumzo kwani hakuna klabu iliyokuwa inammiliki. Kwa ufupi, Feisal alikuwa free agent, na Azam ingezubaa hata Simba ingemsajili
Ina maana ule mkataba wa hadi 2024 kati ya Yanga na Fei ni mkataba hewa?Huyo amesema mazungumzo, lakini mazungumzo ni iwapo kuna klabu inammiliki mchezaji. Kwa sakata hili, hakukuwa na haja ya mazungumzo kwani hakuna klabu iliyokuwa inammiliki. Kwa ufupi, Feisal alikuwa free agent, na Azam ingezubaa hata Simba ingemsajili
Fedha fedha fedha Yanga wanataka kuwafanya wachezaji watumwaaaaaJibu amedhuliwa nini? Naona unapuyanga puyanga
- ww hujui sheria, hujui Legal principles zinazotumika, kwenye mikataba Kuna kitu kinaitwa Privity to contract, Feisal hawezi kujiondokea tu kienyeji, bila kukaa mezani na Klabu yake Ya Yanga na Club anayotaka kwenda, the undermining principle hapa ni kuwa mchezaji ni wa timu, Ile aliyoingia nayo mkataba tu i.eFeisal salum And Young Africans huwezi kuondoka, na kama mkataba una lugha tata/isiyoeleweka Mkataba huo utatafsiriwa against the Maker ni Sina uhakika kama mkataba ulikuwa hauelewekiHuyu mkurugenzi wa sheria asiyejua sheria anashangaza, unasema vipi suala la mkataba ni la kukaa pamoja walimalize wakati kuna kipengele kwenye mkataba kilimruhusu mchezaji kuvunja mkataba kama akiweka kiasi fulani cha pesa kwenye akaunti ya klabu?
Zaidi, anaposema mchezaji anapovunja mkataba hakai peke yake, lazima akae na klabu yake, napo anakosea, akumbuke pande zote kwenye mkataba kisheria huwa zipo sawa, hapa asilete ukubwa wa klabu akadhani ndio advantage kwa Yanga SC, hapa Yanga SC walijichanganya wenyewe kuweka kipengele kilichowabana kwenye mkataba.
Pia, klabu inayomhitaji mchezaji sio lazima iandike barua ikimhitaji mchezaji husika, kuna.mazingira yanayolazimisha kufanya hivyo hasa ikiwa mchezaji bado ana mkataba na timu yake, na mkataba wake unambana kwenda timu nyingine bila makubaliano ya timu mbili.
Lakini kwa Fei Toto hali haiko hivyo, yeye habanwi na mkataba kwasababu ameshatimiza takwa la kimkataba lililomtaka anunue sehemu ya mkataba wake kama akitaka kuondoka akiwa huru, huyu mwanasheria anaonekana mchanga halafu amekariri mambo ya usajili, hajui kutofautisha mazingira.
Ndio maana baada ya akili kumkaa sawa ameamua kuuvunjaUna akili mbovu nani amedhulumiwa? Kama anaona mil 4 ni ndogo kwanini alikubali kusaini mkataba?
Wachezaji wetu shule imewapitisha kushoto
Fedha gani aliyodhulumiwa?fedha fedha fedha Yanga wanataka kuwafanya wachezaji watumwaaaaa
Mkuu, ukisitisha mkataba unakuwa free, hakuna haja ya mazungumzo tena. Sasa kama ni mali ya Yanga siku zote hata baada ya kufanya termination, hicho kipengele kina maana gani hapo?Feisal anao mkataba hai hadi May 2024. Hivyo sio free agent ni mali ya Yanga.
Pili Feisal au Yanga wanayo haki ya kuvunja mkataba. Na utaratibu wa kuvunja ni lazima mdaliane na kufikia muafaka wa kuvunja.
-mkataba hausomwi peke yake unasoma na provisions nyingine za Mkataba Ili kupata contextWewe unataka kisomwe kwa pamoja na kipi kingine?
Lazima mtambue, mahitaji ya kimkataba kati ya mmoja na mwingine huwa tofauti, hayafanani, hivyo msikariri kwa kuchanganya mambo ya jumla kwenye sheria husika, wakati kuna specific issues ambazo zinajitegemea kutokana na makubaliano binafsi ya pande mbili husika zilizosaini mkataba, ukijichanganya hapo kwisha habari yako.
Si ameshalipa signing fee sh. 100,000,000/= na mishahara ya miezi mitatu sh. 12,000,000/= ? Baada ya hapo anakuwa huru, na akiwa huru anazungumza na timu yoyote ikiwemo Simba bila kulazimika kuihusisha Yanga. Kwani Dejan wakati anasajiliwa Simba alilazimika kuzungumza na Yanga? πππIna maana ule mkataba wa hadi 2024 kati ya Yanga na Fei ni mkataba hewa ?
-feisal alitakiwa atumie The doctrine of novationUna akili mbovu nani amedhulumiwa? Kama anaona mil 4 ni ndogo kwanini alikubali kusaini mkataba?
Wachezaji wetu shule imewapitisha kushoto
Weka chenzake kama kipoHicho kipengele kinasomwa peke yake?
Mkataba wa fei toto unawalakini,na ndio maana wajanja wameona wakapita nao.Watu wameng'ang'ania vifungu hawakumbuki hivyo vifungu vimeongezeka huko kwenye mkatabaSi ameshalipa signing fee sh. 100,000,000/= na mishahara ya miezi mitatu sh. 12,000,000/= ? Baada ya hapo anakuwa huru, na akiwa huru anazungumza na timu yoyote ikiwemo Simba bila kulazimika kuihusisha Yanga. Kwani Dejan wakati anasajiliwa Simba alilazimika kuzungumza na Yanga? [emoji38][emoji38][emoji38]
Kwahiyo unamini unaweza kusitisha mkataba kwa kuweka hela kwenye akaunti ya club na mambo yakaisha!!Mkuu, ukisitisha mkataba unakuwa free, hakuna haja ya mazungumzo tena. Sasa kama ni mali ya Yanga siku zote hata baada ya kufanya termination, hicho kipengele kina maana gani hapo?
Uto...wanamuhitaji Fei maana hawajaridhia yeye aondoke ,Kama ni pesa wanazoSi ameshalipa signing fee sh. 100,000,000/= na mishahara ya miezi mitatu sh. 12,000,000/= ? Baada ya hapo anakuwa huru, na akiwa huru anazungumza na timu yoyote ikiwemo Simba bila kulazimika kuihusisha Yanga. Kwani Dejan wakati anasajiliwa Simba alilazimika kuzungumza na Yanga? πππ