Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

Una akili mbovu nani amedhulumiwa? Kama anaona mil 4 ni ndogo kwanini alikubali kusaini mkataba?
Wachezaji wetu shule imewapitisha kushoto
Wewe ndio unaakili za kuvukia Barabara nenda Katoe elimu Kwa wachezaji kama amekosea
 
Huyo amesema mazungumzo, lakini mazungumzo ni iwapo kuna klabu inammiliki mchezaji. Kwa sakata hili, hakukuwa na haja ya mazungumzo kwani hakuna klabu iliyokuwa inammiliki. Kwa ufupi, Feisal alikuwa free agent, na Azam ingezubaa hata Simba ingemsajili
Hatari sana hii.. Huyo kiongozi wa TFF ni bora angekaa kimya.
Umeongea vizuri kabisa.
 
Huyo amesema mazungumzo, lakini mazungumzo ni iwapo kuna klabu inammiliki mchezaji. Kwa sakata hili, hakukuwa na haja ya mazungumzo kwani hakuna klabu iliyokuwa inammiliki. Kwa ufupi, Feisal alikuwa free agent, na Azam ingezubaa hata Simba ingemsajili
Ina maana ule mkataba wa hadi 2024 kati ya Yanga na Fei ni mkataba hewa?
 
Huyu mkurugenzi wa sheria asiyejua sheria anashangaza, unasema vipi suala la mkataba ni la kukaa pamoja walimalize wakati kuna kipengele kwenye mkataba kilimruhusu mchezaji kuvunja mkataba kama akiweka kiasi fulani cha pesa kwenye akaunti ya klabu?

Zaidi, anaposema mchezaji anapovunja mkataba hakai peke yake, lazima akae na klabu yake, napo anakosea, akumbuke pande zote kwenye mkataba kisheria huwa zipo sawa, hapa asilete ukubwa wa klabu akadhani ndio advantage kwa Yanga SC, hapa Yanga SC walijichanganya wenyewe kuweka kipengele kilichowabana kwenye mkataba.

Pia, klabu inayomhitaji mchezaji sio lazima iandike barua ikimhitaji mchezaji husika, kuna.mazingira yanayolazimisha kufanya hivyo hasa ikiwa mchezaji bado ana mkataba na timu yake, na mkataba wake unambana kwenda timu nyingine bila makubaliano ya timu mbili.

Lakini kwa Fei Toto hali haiko hivyo, yeye habanwi na mkataba kwasababu ameshatimiza takwa la kimkataba lililomtaka anunue sehemu ya mkataba wake kama akitaka kuondoka akiwa huru, huyu mwanasheria anaonekana mchanga halafu amekariri mambo ya usajili, hajui kutofautisha mazingira.
- ww hujui sheria, hujui Legal principles zinazotumika, kwenye mikataba Kuna kitu kinaitwa Privity to contract, Feisal hawezi kujiondokea tu kienyeji, bila kukaa mezani na Klabu yake Ya Yanga na Club anayotaka kwenda, the undermining principle hapa ni kuwa mchezaji ni wa timu, Ile aliyoingia nayo mkataba tu i.eFeisal salum And Young Africans huwezi kuondoka, na kama mkataba una lugha tata/isiyoeleweka Mkataba huo utatafsiriwa against the Maker ni Sina uhakika kama mkataba ulikuwa haueleweki
 
Una akili mbovu nani amedhulumiwa? Kama anaona mil 4 ni ndogo kwanini alikubali kusaini mkataba?
Wachezaji wetu shule imewapitisha kushoto
Ndio maana baada ya akili kumkaa sawa ameamua kuuvunja
 
Feisal anao mkataba hai hadi May 2024. Hivyo sio free agent ni mali ya Yanga.

Pili Feisal au Yanga wanayo haki ya kuvunja mkataba. Na utaratibu wa kuvunja ni lazima mdaliane na kufikia muafaka wa kuvunja.
Mkuu, ukisitisha mkataba unakuwa free, hakuna haja ya mazungumzo tena. Sasa kama ni mali ya Yanga siku zote hata baada ya kufanya termination, hicho kipengele kina maana gani hapo?
 
Wewe unataka kisomwe kwa pamoja na kipi kingine?

Lazima mtambue, mahitaji ya kimkataba kati ya mmoja na mwingine huwa tofauti, hayafanani, hivyo msikariri kwa kuchanganya mambo ya jumla kwenye sheria husika, wakati kuna specific issues ambazo zinajitegemea kutokana na makubaliano binafsi ya pande mbili husika zilizosaini mkataba, ukijichanganya hapo kwisha habari yako.
-mkataba hausomwi peke yake unasoma na provisions nyingine za Mkataba Ili kupata context
 
Ina maana ule mkataba wa hadi 2024 kati ya Yanga na Fei ni mkataba hewa ?
Si ameshalipa signing fee sh. 100,000,000/= na mishahara ya miezi mitatu sh. 12,000,000/= ? Baada ya hapo anakuwa huru, na akiwa huru anazungumza na timu yoyote ikiwemo Simba bila kulazimika kuihusisha Yanga. Kwani Dejan wakati anasajiliwa Simba alilazimika kuzungumza na Yanga? 😆😆😆
 
Una akili mbovu nani amedhulumiwa? Kama anaona mil 4 ni ndogo kwanini alikubali kusaini mkataba?
Wachezaji wetu shule imewapitisha kushoto
-feisal alitakiwa atumie The doctrine of novation
 
Hahahaaa!! Aliekua wa TFF. Mm nilijua wa sasa.
 
Si ameshalipa signing fee sh. 100,000,000/= na mishahara ya miezi mitatu sh. 12,000,000/= ? Baada ya hapo anakuwa huru, na akiwa huru anazungumza na timu yoyote ikiwemo Simba bila kulazimika kuihusisha Yanga. Kwani Dejan wakati anasajiliwa Simba alilazimika kuzungumza na Yanga? [emoji38][emoji38][emoji38]
Mkataba wa fei toto unawalakini,na ndio maana wajanja wameona wakapita nao.Watu wameng'ang'ania vifungu hawakumbuki hivyo vifungu vimeongezeka huko kwenye mkataba
 
Mkuu, ukisitisha mkataba unakuwa free, hakuna haja ya mazungumzo tena. Sasa kama ni mali ya Yanga siku zote hata baada ya kufanya termination, hicho kipengele kina maana gani hapo?
Kwahiyo unamini unaweza kusitisha mkataba kwa kuweka hela kwenye akaunti ya club na mambo yakaisha!!
 
Si ameshalipa signing fee sh. 100,000,000/= na mishahara ya miezi mitatu sh. 12,000,000/= ? Baada ya hapo anakuwa huru, na akiwa huru anazungumza na timu yoyote ikiwemo Simba bila kulazimika kuihusisha Yanga. Kwani Dejan wakati anasajiliwa Simba alilazimika kuzungumza na Yanga? 😆😆😆
Uto...wanamuhitaji Fei maana hawajaridhia yeye aondoke ,Kama ni pesa wanazo
 
Back
Top Bottom