Aliyekuwa Mkurugenzi wa usalama wa taifa IMRAN KOMBE ndiye anadaiwa anajua ukweli wa hili kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali 1994

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Na nukuu:
Inawezekana labda ndio jambo lililimtoa kwenye picha alipoonekana ni hatari kutunza tena siri hiyo.

Kwenye “Military Intelligence” kazi kubwa huwa ni kuchunguza uwezo wa kijeshi wa nchi jirani inayokuzunguka. Baadhi ya taarifa ambazo hukusanywa ni

(a) Budget ya kupigana na jirani endapo kutakuwa na hitaji hilo,
(b) Mwenendo wa nchi jirani katika ununuzi wa zana za kivita (akinunua sana kwa kipindi kifupi ni razima jirani apeleleze sasabu ni nini?).

(C) Kujua rafiki wa nchi jirani ambaye ni lazima atakaa upande wa jirani endapo utapambana na jirani husika.

(hapa namaanisha taarifa zote za jirani msaidizi wa adui lazima zijulikane ikiwemo uwezo wake kijeshi, bajeti ya kumshinda, nguvu yake na madhaifu yake).

Baada ya maelezo hapo juu, je Idara yetu ya “Military Intelligence”haikushtuka wakati UZI GUNS from russia,Machetes from China etc vinapita kwenda Rwanda kwa wingi ndani ya muda mfupi?

Je, ni kweli alikuwa na mengi
 
Ukiangalia mgogoro wa Rwanda kwa matukio ya mwaka 1994 peke yake huwezi kupata majibu sahihi.
1. Kuna matukio muhimu kabla ya 1994 yanahusiana vizuri na mauaji ya Kimbari.
2. Kuna matukio muhimu baada ya 1994 yanahusiana vizuri na mauaji ya kimbari.
3. Kuna matukio yaliyofanywa na nchi nyingi yalichangia kutokea mauaji ya kimbari.
4. Mauaji ya kimbari siyo tatizo, bali yalikuwa kilele cha tatizo kubwa ambalo bado liko ukanda huu.
5. Mauaji ya kimbari hayakufanyika mwaka 1994 peke yake.
6. Mauaji ya kimbari yameathiri nchi nyingi zaidi ya Rwanda, aidha moja kwa moja au mlango wa nyuma.

Tunaposoma MAJOR EVENTS kama vita ya kwanza ya dunia, huwa hatuangalii matukio ya mwaka 1914 peke yake, wala kuangalia mtu mmoja-mmoja kama GAVRILLO PRINCIP au ARCH DUKE FRANZ FERDINAND au ARTHUR ZIMMERMAN. Bali tunaangalia taswira pana ya matukio yaliyotokea hata karne moja iliyopita, mambo kama The Unification of Germany, The Moroccan Crisis, The Fashoda Incident, The Slavic Nationalism n.k.

Ukianza kuwazingatia General Paul Kagame au General Imran Kombe, unaweza kupata baadhi ya vitu lakini vinaweza visiwe sahihi au venye taswira finyu. Maana kuna mambo mengi yalitokea, yanaendelea kutokea na yatatokea huko siku za mbeleni. Muhimu kukumbuka tu ni kwamba, kwenye SIASA hakuna ajali, wala tukio ambalo hutokea lenyewe peke yake (A Miscellaneous Event in Isolation of Prevaling Politics or Circumstances).

NB: Angalia zaidi ya General Kombe............
 
Angekuwa "anajua" kama angalikuwa hai bado. Labda ulimaanisha "alijua"?
 
Ingependeza sanavWangekuwa na weledi Sana katika intelejensia na upelelezi wangejtahidi kujua ni mbegu zipi ama mazao yepi yanastahimilivu ukame na kuzalisha 'high yields' Ili taifa lipate chakula Cha kutosha tusiendelee kufa kwa
 
Sio kweli kilichomponza ni kuonyesha msimamo wake kati ya siri aliokuwa nayo na lyatonga mrema kipindi lyatonga anagombea Urais sasa alipoonyesha msimamo na alitiliwa shaka kuwa anampenyezea mrema siri ya jikoni ndio ikatokea kilichomtokea.
Naomba niishie hapo sitaki maswali
 
Ingependeza sanavWangekuwa na weledi Sana katika intelejensia na upelelezi wangejtahidi kujua ni mbegu zipi ama mazao yepi yanastahimilivu ukame na kuzalisha 'high yields' Ili taifa lipate chakula Cha kutosha tusiendelee kufa kwa
Tuna establishments za kufanya hizo kazi. Tuna Taasisi ya Mbegu, tuna TARI, kuna vituo kama Naliendele, Ukiliguru, na Chuo Kikuuncha Kilimo Sokoine(SUA).
Unataka tena vyombo vya kijasusi nduo vifanye hivyo?
 
Haohao tuuuu
 
Ingependeza sanavWangekuwa na weledi Sana katika intelejensia na upelelezi wangejtahidi kujua ni mbegu zipi ama mazao yepi yanastahimilivu ukame na kuzalisha 'high yields' Ili taifa lipate chakula Cha kutosha tusiendelee kufa kwa

kukwepa mada kutengeneza tofauti.naweka mambo yako wazi
 
Tanzania imerudi nyuma sana kwny medali ya kuratibu Intelijensia, siasa na vita vya kusini mwa Jangwa la Sahara

zamani hata vita ya kule Biafra Nigeria kulikuwa n Mkono wetu sijui Madagascar sijui Comoro n.k

vijana wa Kitanzania kina Jaji Chande hadi alichaguliwa kuwa Mkuu wa mifumo ya kisheria na kiitifaki wa Timor Mashariki baada ya kupiga na kushinda kura ya kujitenga kutoka Indonesia
 
Picha yake pekee iliyoko public ni ile anapiga saluti vita ya Uganda
images.jpg
 
Ukiangalia mgogoro wa Rwanda kwa matukio ya mwaka 1994 peke yake huwezi kupata majibu sahihi.
1. Kuna matukio muhimu kabla ya 1994 yanahusiana vizuri na mauaji ya Kimbari.
2. Kuna matukio muhimu baada ya 1994 yanahusiana vizuri na mauaji ya kimbari.
3. Kuna matukio yaliyofanywa na nchi nyingi yalichangia kutokea mauaji ya kimbari.
4. Mauaji ya kimbari siyo tatizo, bali yalikuwa kilele cha tatizo kubwa ambalo bado liko ukanda huu.
5. Mauaji ya kimbari hayakufanyika mwaka 1994 peke yake.
6. Mauaji ya kimbari yameathiri nchi nyingi zaidi ya Rwanda, aidha moja kwa moja au mlango wa nyuma.

Tunaposoma MAJOR EVENTS kama vita ya kwanza ya dunia, huwa hatuangalii matukio ya mwaka 1914 peke yake, wala kuangalia mtu mmoja-mmoja kama GAVRILLO PRINCIP au ARCH DUKE FRANZ FERDINAND au ARTHUR ZIMMERMAN. Bali tunaangalia taswira pana ya matukio yaliyotokea hata karne moja iliyopita, mambo kama The Unification of Germany, The Moroccan Crisis, The Fashoda Incident, The Slavic Nationalism n.k.

Ukianza kuwazingatia General Paul Kagame au General Imran Kombe, unaweza kupata baadhi ya vitu lakini vinaweza visiwe sahihi au venye taswira finyu. Maana kuna mambo mengi yalitokea, yanaendelea kutokea na yatatokea huko siku za mbeleni. Muhimu kukumbuka tu ni kwamba, kwenye SIASA hakuna ajali, wala tukio ambalo hutokea lenyewe peke yake (A Miscellaneous Event in Isolation of Prevaling Politics or Circumstances).

NB: Angalia zaidi ya General Kombe............
Naona mwalimu unatema tu madini! Halafu kuna watu wanasema eti walimu ni ma failure!

Yaani hapo hujagusia kabisa madude kama Berlin Congress ya mwaka 1878, influence ya Ottoman Empire, Habsburg Empire (Austria - Hungary), na Urusi enzi hizo! Hatari sana.
 
Waache walimu wapumzike jamani kila siku mnawasema wao tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom