Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

CCM ife tu sasa...daah
 
Ikiwa ni kweli basi huyu mama atakuwa na maadui wenye akili mno. Kumpandikizia moja ya virusi hatari kuwahi kutokea Tz.

Makonda ni mithili ya kutu kwenye chuma, ikianza haibakishi chochote.

Kumrudisha Makonda kutaondoa uhalali wa Sabaya kuwekwa ndani mpaka sasa na kutaondoa kila punje ya uzuri mama anayojaribu kuufanya.
 
Ngoja tuone
 
Acha wivu wewe kama unamchukia kwa chuki binafsi ni wewe

Makonda ndie mtu pekee anayeweza kuhimili moto wawapinzani wanaokwenda kuuwasha
 
Kumbe ukiwa na akili za asubuhi uko vizuri? Nimezoea kusoma matusi kwako.
Kwa post hii unastahili pongezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…