Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Sema wewe ndio utamchukia, sio watanzania. Pambaff kabisa. Alafu walimu sasa hivi sijui kwa nn hamna akiliSamia atachukiwa sn sn na watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe ndio utamchukia, sio watanzania. Pambaff kabisa. Alafu walimu sasa hivi sijui kwa nn hamna akiliSamia atachukiwa sn sn na watanzania
Lile ghorofa la makonda kuli igoma ni funga kaziIle nyumba mpya ya mama mkwe aliyojengewa na Makonda kule ngara mnaitunza?
Sasa hivi anafungua famasi Morogoro, pale CINE CINEMA ilipokuwa CRDB, anaendelea kutakatishaLile ghorofa la makonda kuli igoma ni funga kazi
CCM ife tu sasa...daahKina Cha maji hakipimwi kwa kuingiza miguu, tutavuka mto tukiufikia, kwa Sasa hatutoi panga zetu kwenye ala.
Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.
Ni huyu mtu ambaye anatajwa kuwa Dodoma wakati Lissu akinyeshewa mvua ya risasi. Na ni mtu huyu, tangu nchi hii iumbwe, Yuko blacklisted asikanyage U.S.A kwa kudhulumu haki ya kuishi. Kudhulumu haki ya kuishi ni kwamba kwa mkono wake au Kwa maelekezo yake, aliuwa watanzania wenzetu iwe kwa mapanga, kwa risasi, au kuwanyonga, inawezekana walimlilia sana awaache au awasamehe, lakini akahakikisha wanakufa kifo Cha kikatili, bila fursa ya kuaga wapendwa wao, Wala kujulikana walipozikwa.
Ameshaonja damu ya binadamu, bila shaka atakuwa na kiu ya damu nyingine, ni ya nani Kati ya wa Tizee milioni 61?
Bila CCM imara nchi itayumba, mama anatengeneza ccm imaraCCM ife tu sasa...daah
Njoo na wewe nikujengee uache wivuLile ghorofa la makonda kuli igoma ni funga kazi
Sawa,ngoja tusubiriBila CCM imara nchi itayumba, mama anatengeneza ccm imara
Hizi comment zako za kwenye siasa hunifanya nirudi nyuma hatua 100 kwako. Huwa unajitoa sana akili (samahani kwa haya maneno)CCM ife tu sasa...daah
Ngoja tuoneKina Cha maji hakipimwi kwa kuingiza miguu, tutavuka mto tukiufikia, kwa Sasa hatutoi panga zetu kwenye ala.
Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.
Ni huyu mtu ambaye anatajwa kuwa Dodoma wakati Lissu akinyeshewa mvua ya risasi. Na ni mtu huyu, tangu nchi hii iumbwe, Yuko blacklisted asikanyage U.S.A kwa kudhulumu haki ya kuishi. Kudhulumu haki ya kuishi ni kwamba kwa mkono wake au Kwa maelekezo yake, aliuwa watanzania wenzetu iwe kwa mapanga, kwa risasi, au kuwanyonga, inawezekana walimlilia sana awaache au awasamehe, lakini akahakikisha wanakufa kifo Cha kikatili, bila fursa ya kuaga wapendwa wao, Wala kujulikana walipozikwa.
Ameshaonja damu ya binadamu, bila shaka atakuwa na kiu ya damu nyingine, ni ya nani Kati ya wa Tizee milioni 61?
Acha wivu wewe kama unamchukia kwa chuki binafsi ni weweMama Samia hawezi asilani kufanya uteuzi wa kumdhalilisha Rais mwenyewe, Rais Samia sio mtu wa kufanya teuzi za ajabu hivyo na kamwe haiwezi tokea kwa Mama yetu, Mama Samia kajenga Imani na upendo mkubwa kwa wananchi tayari kwa muda mfupi sana, alafu alete mtu wa hovyo hovyo kama Makonda, hilo halipo na watanzania tunaona hilo halipo. Muda wa watu wa hovyo ushapita
Alipiga sana hela za wauza ungaSasa hivi anafungua famasi Morogoro, pale CINE CINEMA ilipokuwa CRDB, anaendelea kutakatisha
Wale ni ukoo wa panyaHuko ccm nani asiye na makandokando lukuki?
🤣🤣🤣daahNatembea uchi mpaka msamvu,faili lake ikulu limepigwa muhuri mwekundu
Kumbe ukiwa na akili za asubuhi uko vizuri? Nimezoea kusoma matusi kwako.Kina Cha maji hakipimwi kwa kuingiza miguu, tutavuka mto tukiufikia, kwa Sasa hatutoi panga zetu kwenye ala.
Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.
Ni huyu mtu ambaye anatajwa kuwa Dodoma wakati Lissu akinyeshewa mvua ya risasi. Na ni mtu huyu, tangu nchi hii iumbwe, Yuko blacklisted asikanyage U.S.A kwa kudhulumu haki ya kuishi. Kudhulumu haki ya kuishi ni kwamba kwa mkono wake au Kwa maelekezo yake, aliuwa watanzania wenzetu iwe kwa mapanga, kwa risasi, au kuwanyonga, inawezekana walimlilia sana awaache au awasamehe, lakini akahakikisha wanakufa kifo Cha kikatili, bila fursa ya kuaga wapendwa wao, Wala kujulikana walipozikwa.
Ameshaonja damu ya binadamu, bila shaka atakuwa na kiu ya damu nyingine, ni ya nani Kati ya wa Tizee milioni 61?
Chadema tuko vizuri, nyie watu wa CCM mtu akiwa na hoja tofauti, mnaipa tafsiri kwamba ni matusiKumbe ukiwa na akili za asubuhi uko vizuri? Nimezoea kusoma matusi kwako.
Kwa post hii unastahili pongezi
Mimi sina chamaChadema tuko vizuri, nyie watu wa CCM mtu akiwa na hoja tofauti, mnaipa tafsiri kwamba ni matusi