Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Wauza unga na mashoga tu ndio maadui wa Makonda lakini Watz wengine wote wanampenda sana mchapakazi Makonda.
Kwa ujumla majambazi hata yanapowaua watu kwa nia ya kupora mali zao, yanasema yanafanya kazi.

Kuua watu, kwa vyovyote vile ni kaxi ngumu sana, mpaka uwe na roho ya shetani, ndiyo utafanya. Kwa tafsiri hiyo ya kazi, kweli ni mchapakazi. LAKINI sisi tunaongelea kazi halali mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu wenye Roho wa Mungu.

Kwa tafsiri hii ya pili, wewe na huyo nduguyo ni mashetani. Mmedhulumu damu na uhai wa watu, Mungu wa haki atawalipa sawa sawa na matendo yenu, hata kama si leo au kesho, lakini mtaulipia uovu wenu. Mungu wa neema, uliye mfariji, tunaomba uendelee kuwajalia moyo wa faraja familia ya Sanane ambaye aliondosha katika ulimwengu huu, na huyu shetani ambaye bado tunaishi naye. Tunajua kuwa wewe hutoa hukumu kwa wakati ufaaΓ².

Nina hakika huyu kiongozi wenu wa utawala wa shetani, hatapata hata ubalozi wa nyumba 10.
 
Makonda ni adui wa wauza unga na mashoga tu lakini watz wengine wote wanampenda sana tu.
Huelewi hata maana ya 'wote', kwa sababu shetani ameufifisha uelewa wako ili aendelee kukutumia kadiri apendavyo.
 
Ukiwa ndani ya CCM ni kinga tosha dhidi ya jinai yeyote
 
Au ndio wewe?

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Makonda ni adui wa wauza unga na mashoga tu lakini watz wengine wote wanampenda sana tu.
Nchi huru ikiwemo mitazamo. Wote tunatumia haki zetu za kuexpress mitazamo yetu.
Amini kuwa Makonda ni mwema na tunaoamini tofauti tuendelee na imani zetu.
 
Ajiajiri
Hakika hizi ni habari njema haswa kama huyo Bwana amekuwa nje ya ajira kwa kipindi chote hicho bila shaka hizi ni habari za matumaini kwake na familia.

Basi na akawe mchapa kazi ili anayempa ajira aone kuwa hajakosea.
 
Nchi huru ikiwemo mitazamo. Wote tunatumia haki zetu za kuexpress mitazamo yetu.
Amini kuwa Makonda ni mwema na tunaoamini tofauti tuendelee na imani zetu.
Kabisa na kama anaona kututusi kunampa ahueni aendelee kutumia Uhuru wake kututukana ili huyo Makonda wake awe RC huko Shinyanga!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Lakini si ni mchapakazi, au nasema uongo wajameni?. πŸ€·πŸ»β€β™‚οΈ
 
Countrywide naomba nisamehe kama umekwazika,ninapojibu kwa hasira huwa hujibu...(tambua kimya chako unanipiga vibaya mno).....Am very sorry KamandaπŸ˜”πŸ™
 
Kama ni hivyo angeteuliwa kuwa katibu wa ccm taifa, Shinyanga mbona ni mkoa mdogo sana au haujui jiografia ya nchi ya tz
 
Labda Kinana Mkwere hawana remote awamu hii....Huyo asahau mikono yake michafu inanuka damu

..hata kama aliua watu lazima kuna mtu alimtuma, na alikuwa akimlinda baada ya unyama huo.

..pia kuna watu alioshirikiana nao ktk kutenda uovu mnaomtuhumu.
 

Mtapiga ramli mpaka mchoke huyo hamudu siasa acheni kumdanganya huyo mwizi, mtekaji na mbabe Watu hawataki hata kumsikia
 
Duhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…