Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kwa ujumla majambazi hata yanapowaua watu kwa nia ya kupora mali zao, yanasema yanafanya kazi.Wauza unga na mashoga tu ndio maadui wa Makonda lakini Watz wengine wote wanampenda sana mchapakazi Makonda.
Kuua watu, kwa vyovyote vile ni kaxi ngumu sana, mpaka uwe na roho ya shetani, ndiyo utafanya. Kwa tafsiri hiyo ya kazi, kweli ni mchapakazi. LAKINI sisi tunaongelea kazi halali mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu wenye Roho wa Mungu.
Kwa tafsiri hii ya pili, wewe na huyo nduguyo ni mashetani. Mmedhulumu damu na uhai wa watu, Mungu wa haki atawalipa sawa sawa na matendo yenu, hata kama si leo au kesho, lakini mtaulipia uovu wenu. Mungu wa neema, uliye mfariji, tunaomba uendelee kuwajalia moyo wa faraja familia ya Sanane ambaye aliondosha katika ulimwengu huu, na huyu shetani ambaye bado tunaishi naye. Tunajua kuwa wewe hutoa hukumu kwa wakati ufaaò.
Nina hakika huyu kiongozi wenu wa utawala wa shetani, hatapata hata ubalozi wa nyumba 10.