Tuko paleeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Natembea uchi mpaka msamvu,faili lake ikulu limepigwa muhuri mwekundu
Makonda ni mchafu kuliko R1?Kinachofuata kwa Makonda ni jela tu, hiyo spinning yenu kuhusu huyu bwana ni ya kibwege sana.
Samia hawezi kuchafua Serikali yake kwa kuweka dubwasha linalonuka damu na lilio na miliki ya mali ya DHULUMA
Usiogope babe... nipo hapa hakuna wa kukutisha japokuwa hunitaki nitakupambania hivyohivyo ❤Countrywide naomba nisamehe kama umekwazika,ninapojibu kwa hasira huwa hujibu...(tambua kimya chako unanipiga vibaya mno).....Am very sorry Kamanda😔🙏
Mchafu sana,ana damu zinamlilia.Makonda ni mchafu kuliko R1?
Nyinyi kina nani?! 😃😃😅Mtatusingizia ni sisi tunaamua ikiwa ni kweli.
Kuliko R1?Mchafu sana,ana damu zinamlilia.
Afadhali jambazi anayekupiga risasi unakufa mwenyewe kuliko muuza unga anayeharibu vijana wa taifa letu milele.Kwa ujumla majambazi hata yanapowaua watu kwa nia ya kupora mali zao, yanasema yanafanya kazi.
Kuua watu, kwa vyovyote vile ni kaxi ngumu sana, mpaka uwe na roho ya shetani, ndiyo utafanya. Kwa tafsiri hiyo ya kazi, kweli ni mchapakazi. LAKINI sisi tunaongelea kazi halali mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu wenye Roho wa Mungu.
Kwa tafsiri hii ya pili, wewe na huyo nduguyo ni mashetani. Mmedhulumu damu na uhai wa watu, Mungu wa haki atawalipa sawa sawa na matendo yenu, hata kama si leo au kesho, lakini mtaulipia uovu wenu. Mungu wa neema, uliye mfariji, tunaomba uendelee kuwajalia moyo wa faraja familia ya Sanane ambaye aliondosha katika ulimwengu huu, na huyu shetani ambaye bado tunaishi naye. Tunajua kuwa wewe hutoa hukumu kwa wakati ufaaò.
Nina hakika huyu kiongozi wenu wa utawala wa shetani, hatapata hata ubalozi wa nyumba 10.
Ana damu za mashoga na wauza madawa ya kulevya! Kiboko yenu huyo aliwanyoosha wauza madawa na mashoga.Mchafu sana,ana damu zinamlilia.
Naona umemkatia tamaa Sabaya sasa umemgeukia terrorist mwingine.kijana siasa za upinzani anazimudu ccm wameona mbali
Kwa sasa kuna kambi 3, ya Msoga, ya mama na ya Sukuma gang,.ili mama atoboe lazima atafute maridhiano na sukuma gang, kwenye siasa adui wa adui anaweza kufanywa rafiki wa muda ili uvuke.Katika makosa mama asije kufanya ni kama hili. Itampunguzia sana credibility. Nchi hii haina uhaba wa viongozi hadi alazimike 'kuishi' na wenye makandokando lukuki!
Makonda aliwayaja walanguzi wa madawa ya kulevya bila kigugumizi chochote.Anatufaa wanashinyangaKatika makosa mama asije kufanya ni kama hili. Itampunguzia sana credibility. Nchi hii haina uhaba wa viongozi hadi alazimike 'kuishi' na wenye makandokando lukuki!
Hata mm nasubiri hizi tetesi zikiwa kweli basi sina budi kuaminiLikifanyika hilo ndio nitaamini tetesi kuwa jamaa aliwahi kula mzigo
Kina Cha maji hakipimwi kwa kuingiza miguu, tutavuka mto tukiufikia, kwa Sasa hatutoi panga zetu kwenye ala.
Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.
Ni huyu mtu ambaye anatajwa kuwa Dodoma wakati Lissu akinyeshewa mvua ya risasi. Na ni mtu huyu, tangu nchi hii iumbwe, Yuko blacklisted asikanyage U.S.A kwa kudhulumu haki ya kuishi. Kudhulumu haki ya kuishi ni kwamba kwa mkono wake au Kwa maelekezo yake, aliuwa watanzania wenzetu iwe kwa mapanga, kwa risasi, au kuwanyonga, inawezekana walimlilia sana awaache au awasamehe, lakini akahakikisha wanakufa kifo Cha kikatili, bila fursa ya kuaga wapendwa wao, Wala kujulikana walipozikwa.
Ameshaonja damu ya binadamu, bila shaka atakuwa na kiu ya damu nyingine, ni ya nani Kati ya wa Tizee milioni 61?
Tetea hoja yako... tupe maana ya Terrorist, na unganisha dots kwenye hiyo maana utakayotoa inamuhusu vipi bwana Paul Makonda na utupe na mifano hai ya u-terrorist iwe inashabihiana na matukio aliyoyafanya makonda.Naona umemkatia tamaa Sabaya sasa umemgeukia terrorist mwingine.