Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Kinachofuata kwa Makonda ni jela tu, hiyo spinning yenu kuhusu huyu bwana ni ya kibwege sana.

Samia hawezi kuchafua Serikali yake kwa kuweka dubwasha linalonuka damu na lilio na miliki ya mali ya DHULUMA
Makonda ni mchafu kuliko R1?
 
Nyie wote mnaomshutumu makonda ana damu za watu... sijui kaua watu.... sijui kateka watu... sijui kamteka MO... sijui kafanya hivi... sijui Vile...


Mna ushahidi wa mnayoyasema?! Kama kweli shutuma hizo anazo vyombo vya kwenda kushitaki si mnavijua?! Andaeni ushahidi nendeni mkamshitaki msilete unafiki hapa! Kwani wao hawamuoni?! Mbona wanamuacha?! Watu wanataka EVIDENCE!
 
Sidhani kama Mama atakubali ushauri kama huu chuki za huyu mtu zote zitamuangukia,bora akae nae mbali.

Huku Mtaani upepo dhidi yake ni mbaya sana anachukiwa mno,humu kuna watu wake aliokuwa anawalipa kumtetea naona bado wako masalia wanamtetea ila Field hali bado ni mbaya sana.

Akae nae mbali kabisa hafaihafai ana makandokando mengi mno ataamsha hasira zote zilizolala.
 
Kwa ujumla majambazi hata yanapowaua watu kwa nia ya kupora mali zao, yanasema yanafanya kazi.

Kuua watu, kwa vyovyote vile ni kaxi ngumu sana, mpaka uwe na roho ya shetani, ndiyo utafanya. Kwa tafsiri hiyo ya kazi, kweli ni mchapakazi. LAKINI sisi tunaongelea kazi halali mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu wenye Roho wa Mungu.

Kwa tafsiri hii ya pili, wewe na huyo nduguyo ni mashetani. Mmedhulumu damu na uhai wa watu, Mungu wa haki atawalipa sawa sawa na matendo yenu, hata kama si leo au kesho, lakini mtaulipia uovu wenu. Mungu wa neema, uliye mfariji, tunaomba uendelee kuwajalia moyo wa faraja familia ya Sanane ambaye aliondosha katika ulimwengu huu, na huyu shetani ambaye bado tunaishi naye. Tunajua kuwa wewe hutoa hukumu kwa wakati ufaaò.

Nina hakika huyu kiongozi wenu wa utawala wa shetani, hatapata hata ubalozi wa nyumba 10.
Afadhali jambazi anayekupiga risasi unakufa mwenyewe kuliko muuza unga anayeharibu vijana wa taifa letu milele.
 
Katika makosa mama asije kufanya ni kama hili. Itampunguzia sana credibility. Nchi hii haina uhaba wa viongozi hadi alazimike 'kuishi' na wenye makandokando lukuki!
Kwa sasa kuna kambi 3, ya Msoga, ya mama na ya Sukuma gang,.ili mama atoboe lazima atafute maridhiano na sukuma gang, kwenye siasa adui wa adui anaweza kufanywa rafiki wa muda ili uvuke.

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 
Kina Cha maji hakipimwi kwa kuingiza miguu, tutavuka mto tukiufikia, kwa Sasa hatutoi panga zetu kwenye ala.

Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.

Ni huyu mtu ambaye anatajwa kuwa Dodoma wakati Lissu akinyeshewa mvua ya risasi. Na ni mtu huyu, tangu nchi hii iumbwe, Yuko blacklisted asikanyage U.S.A kwa kudhulumu haki ya kuishi. Kudhulumu haki ya kuishi ni kwamba kwa mkono wake au Kwa maelekezo yake, aliuwa watanzania wenzetu iwe kwa mapanga, kwa risasi, au kuwanyonga, inawezekana walimlilia sana awaache au awasamehe, lakini akahakikisha wanakufa kifo Cha kikatili, bila fursa ya kuaga wapendwa wao, Wala kujulikana walipozikwa.

Ameshaonja damu ya binadamu, bila shaka atakuwa na kiu ya damu nyingine, ni ya nani Kati ya wa Tizee milioni 61?

Naunga Mkono hoja Ateuliwe[emoji736][emoji736][emoji1547]
Mkoa wetu Upate Wa Shinyanga Upate Maendeleo na Uwajibikaji!
 
Naona umemkatia tamaa Sabaya sasa umemgeukia terrorist mwingine.
Tetea hoja yako... tupe maana ya Terrorist, na unganisha dots kwenye hiyo maana utakayotoa inamuhusu vipi bwana Paul Makonda na utupe na mifano hai ya u-terrorist iwe inashabihiana na matukio aliyoyafanya makonda.

Ukishindwa usitumie maneno makali na mazito kwa kujifariji mwenyewe.

Kama mna ushahidi dhidi ya mambo mnayomshutumu nendeni mkamshitaki.
 
Back
Top Bottom