Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Hivyo vifo vya mitandaoni kwani hawaishi mtaani mkuu
otea..? 😛Ni changamoto za upumuaji?
Hatupimi. Sisi sote ni majiweHivi ndani ya mwezi huu wamekufa watu wangapi wenye/walikuwa nyazifa kubwa?
Samahani nauliza tu
Kwanini tuangalie mitandao ya kijamii kuhusu wanao kufa mitaani?
Kwa sababu wewe uko mtaani ningependa kwa kuutumia mtaa wako kama mfano halisi utoe ushahidi jinsi mnavyozika watu kila siku sababu ya corona na sio kusema Mambo ya mitandao ya kijamii !
Twambie mtaani kwako kwa Siku mnazika watu wa ngapi?
Ndugu, jamaa , marafiki zako waliokufa kwA corona tuoneshe hizo data usiseme mitandao ya kijamii
Inavyoonekana kabla ya corona ilikuwa tz hajawahi kufa maarufu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga amefariki dunia leo Usiku huu.
Taarifa za awali zinasema kuwa Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Jeshi mkoani Tabora.
Kweli wewe ni EMPTY HEAD ,unajua maana ya Takwimu? Fanya comparison ya 2017 Dec-April 2018 vs 2018 Dec-April 2019 vs 2019 Dec-April 2020 vs 2020 Dec-Up to Now kisha uje na UTUMBO wako.
Kwahiyo kama awajumbe wasingefanya yao sasa hivi tungekuwa na misiba ya wabunge wawili.Mkuu Aligombea ubunge kama sikosei....Siku zetu huisha..MUNGU amlaze pema.
Wewe umeona nimesema kilichomuua? Acha kunyanyasa hisia zakoWatu bhana!!!,hivi tayari mna majibu ya sababu ya kifo chake!!!.