Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
honore ngbanda nzambo ko atumba ni jina alilojipa wakati wa aunthetication policy miaka ya 70 lakini jina walilompa wandishi wa habari wa marekani ni the terminator
huyu alikuwa mkuu wa usalama wa taifa wa zaire na baadaye aliteuliwa na mobutu kuwa mshauri wake wa maswala ya usalama
akiwa mwanafunzi wa seminary walifanya mgomo shuleni huku yeye akiwa kiongozi wa mgomo ndipo akaitwa pamoja na wenzie wajieleze mbele ya rais mobutu.hapo ndipo mobutu aligundua uwezo wa huyu mzee na akasema afuatiliwe achunguzwe na wana usalama wa taifa ili aje ampeleke mafunzo ya usalama wa taifa
aliitwa terminator sababu wakati wake wasiojulikana waliteka watu na kuuwa yani waliitwa ma bundi sababu hawakuonekana mchana wanakufuata usiku tu
alikuwa ni mtu mdadisi sana akikutana na watu wageni mfano wandishi wa habari walipokutana naye yeye aliwahoji.alikuwa na tabia zake za ki afisa usalama kila muda.na analaumiwa kwa anguko la zaire kwa sababu watu wanadai hakumshauri vizuri rais ,lakini yeye anajitetea tuhuma hizo kwa kusema rais mwenyewe hakuwa na ofisi kwa mfano kuna muda walikutana shambani hivo kutokana na kelele za mashine na uwepo wa wafanyakazi wa shambani alishindwa kuzungumza maswala nyeti ya usalama na hata alipopata nafasi ya kumshauri rais,alifanyiwa fitna na wenzie ambao walikuwa karibu na rais
amefariki asubuhi ya leo hapa morocco