Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
- #21
Ukitaka ku-survive kama alivyofanya Honoré Ngbanda Nzambo Ko Atumba basi msikilize Prof. Palamagamba Kabudi juu ya jinsi ya kuishi na bosi wako.
Honoré Ngbanda Nzambo Ko Atumba na Prof. Kabudi wote hawakujifanya wapo juu ya mabosi wao, wote walitambua nafasi zao hata kama walikuwa wajanja sana au wasomi sana walijua bosi ni nani.
Msikilize gwiji la utambuzi wa siasa zilizopo na mfumo wa utawala uliopo madarakani, Prof. Palamagamba Kabudi akitoa somo muhimu :
ni kweli, ila mwigulu nae alijua kuishi na boss,wakati mwingine ni kujidai huoni mambo mengine