Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
-
- #21
ni kweli, ila mwigulu nae alijua kuishi na boss,wakati mwingine ni kujidai huoni mambo mengineUkitaka ku-survive kama alivyofanya Honoré Ngbanda Nzambo Ko Atumba basi msikilize Prof. Palamagamba Kabudi juu ya jinsi ya kuishi na bosi wako.
Honoré Ngbanda Nzambo Ko Atumba na Prof. Kabudi wote hawakujifanya wapo juu ya mabosi wao, wote walitambua nafasi zao hata kama walikuwa wajanja sana au wasomi sana walijua bosi ni nani.
Msikilize gwiji la utambuzi wa siasa zilizopo na mfumo wa utawala uliopo madarakani, Prof. Palamagamba Kabudi akitoa somo muhimu :
haujarejeshwa,makaburi yapo tupu,yule mzee alijenga kanisa alafu akaweka handaki kwa chini ambapo huko chini kuna chumba akamzika mkewe alafu akatengeneza na makaburi ya wanae na yeyeKwani mwili ulisharejeshwa toka Morocco? Kama haujarejeshwa hayo makaburi yaliyoko DRC yamehifadhi nn?
Mobutu naye kama alifia Morocco !Honoré Ngbanda Nzambo Ko Atumba, president of Apareco died this Sunday March 21 2021 in Morocco
Death this Sunday in Morocco, of Honoré Ngbanda Nzambo Ko Atumba, president of the Alliance of Patriots for the Refoundation of Congo (Apareco) and former chief of intelligence of Mobutu, Minister of Defense and "special adviser" under Mobutu.
Mobutu naye kama alifia Morocco !
Nani huyo?Kuna mwenziwe huku yuanatembezwa juani
kama alikuwa ameokoka hakuna shidahonore ngbanda nzambo ko atumba ni jina alilojipa wakati wa aunthetication policy miaka ya 70 lakini jina walilompa wandishi wa habari wa marekani ni the terminator
huyu alikuwa mkuu wa usalama wa taifa wa zaire na baadaye aliteuliwa na mobutu kuwa mshauri wake wa maswala ya usalama
akiwa mwanafunzi wa seminary walifanya mgomo shuleni huku yeye akiwa kiongozi wa mgomo ndipo akaitwa pamoja na wenzie wajieleze mbele ya rais mobutu.hapo ndipo mobutu aligundua uwezo wa huyu mzee na akasema afuatiliwe achunguzwe na wana usalama wa taifa ili aje ampeleke mafunzo ya usalama wa taifa
aliitwa terminator sababu wakati wake wasiojulikana waliteka watu na kuuwa yani waliitwa ma bundi sababu hawakuonekana mchana wanakufuata usiku tu
alikuwa ni mtu mdadisi sana akikutana na watu wageni mfano wandishi wa habari walipokutana naye yeye aliwahoji.alikuwa na tabia zake za ki afisa usalama kila muda.na analaumiwa kwa anguko la zaire kwa sababu watu wanadai hakumshauri vizuri rais ,lakini yeye anajitetea tuhuma hizo kwa kusema rais mwenyewe hakuwa na ofisi kwa mfano kuna muda walikutana shambani hivo kutokana na kelele za mashine na uwepo wa wafanyakazi wa shambani alishindwa kuzungumza maswala nyeti ya usalama na hata alipopata nafasi ya kumshauri rais,alifanyiwa fitna na wenzie ambao walikuwa karibu na rais
amefariki asubuhi ya leo hapa morocco
Alichelewa kuvuta Rest in Hell Thiefhonore ngbanda nzambo ko atumba ni jina alilojipa wakati wa aunthetication policy miaka ya 70 lakini jina walilompa wandishi wa habari wa marekani ni the terminator
huyu alikuwa mkuu wa usalama wa taifa wa zaire na baadaye aliteuliwa na mobutu kuwa mshauri wake wa maswala ya usalama
akiwa mwanafunzi wa seminary walifanya mgomo shuleni huku yeye akiwa kiongozi wa mgomo ndipo akaitwa pamoja na wenzie wajieleze mbele ya rais mobutu.hapo ndipo mobutu aligundua uwezo wa huyu mzee na akasema afuatiliwe achunguzwe na wana usalama wa taifa ili aje ampeleke mafunzo ya usalama wa taifa
aliitwa terminator sababu wakati wake wasiojulikana waliteka watu na kuuwa yani waliitwa ma bundi sababu hawakuonekana mchana wanakufuata usiku tu
alikuwa ni mtu mdadisi sana akikutana na watu wageni mfano wandishi wa habari walipokutana naye yeye aliwahoji.alikuwa na tabia zake za ki afisa usalama kila muda.na analaumiwa kwa anguko la zaire kwa sababu watu wanadai hakumshauri vizuri rais ,lakini yeye anajitetea tuhuma hizo kwa kusema rais mwenyewe hakuwa na ofisi kwa mfano kuna muda walikutana shambani hivo kutokana na kelele za mashine na uwepo wa wafanyakazi wa shambani alishindwa kuzungumza maswala nyeti ya usalama na hata alipopata nafasi ya kumshauri rais,alifanyiwa fitna na wenzie ambao walikuwa karibu na rais
amefariki asubuhi ya leo hapa morocco
Hahaha Mobutu alikuwa na vitukoitategemea na wosia wake,kama alitaka congo watampeleka,mobutu yeye ana makaburi matatu,mawili yapo congo ambapo moja alijichimbia akiwa mzima kabisa wa afya na lingine alichimbiwa alipokufa,la tatu ndimo yumo