Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi Shinyanga

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi Shinyanga

Gharama sana Samia anatuingiza...hivi nini kinasababisha kuhamisha mtu je hafai ama ni ujinga tu. Gharama ya kuhamisha DC ni kiasia gani? Huyu mama kiutendaji sio kabisa.
 
Majukumu ya DC yangeongezewa kuwa majukumu ya DED ILI tupunguze mzigo Kwa serikali!
nchi hii ni maskini, matumizi ni makubwa mno.
Ngumu sana kuendelea hasa kutokana na hizi siasa za kipumbavu za ccm.

Ifike wakati DC, DED ufutiliwe mbali. Naamini ukuu wa mikoa (gavana) ndio ungebaki Tena wa kuchaguliwa, ili wakazi husika wa eneo wafanye kazi kwani changamoto za maeneo yao wanazijua tofauti na hii ya mara Amos Makala leo yuko Dsm kesho Mwanza keshokutwa Tabora. Hakuna tija hapo.
 
Kwa English hiyo uliyomalizia kwenye post yako, sishangqi kwa nini unamuona Mtatiro ni genius. Kwenye kundi la vipofu, mwenye chongo ndiyo mfalme wao
Kwani amekosea wapi hapo!? Kama huyu ajuza utopolo anaendesha nchi ndiyo ashindwe Mtatiro Julius!?
 
Kuunga juhudi za raisi kunalipa sana, nakala iwafikie Yericko Nyerere na gadlisten malisa plus mdude
Magufuli hakuwa mtu mzuri. Kupinga mipango yake ilikuwa sawa na kujihukumu adhabu ya kifo. Sio rahisi sana kupambana na hawa madikteta. Kwa kweli simlaumu Bwana Mtatiro.
 
CCM killed the young man charisma and talent. Lipumba na Maalim ndio waliiona tunu na kipaji cha huyu bwana mdogo, mimi nilishuhudia maana akikuwa mbele yangu hapo Mlimani.
Kile kipaji cha kujenga hoja na kuzitetea, uwezo mkubwa wa kuhoji na kutetea hoja siouni tena kwa huyu jamaa. Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Ulitaka akatae uteuzi?

Wewe ukiteuliwa utakataa?

Unafahamu kwamba kukataa uteuzi wa rais ni kosa la uhaini na unapaswa kuhojiwa?
 
Hivi akili zenu zina kazi gani? Akiwa DARUSO alikuwa mwanafunzi na kiongizi. Alitekeleza majukumu yake kwa wakati huo.

Sasa ni DC Shinyanga, bado unataka a behave kama mwanafunzi kiongozi wa DARUSO
Asante kwa mchango mzuri.
 
Mtatilo ana uwezo wa kufanya kama dc na ded at the sametime. This man will be able to be the country president
Ana taalamu ya utawala wa umma na sheria.

Hata Mchengerwa ana taaluma ya sheria. Pia Ummy Mwalimu ni mwanasheria.

Sishangai kuhusu utendaji wao. Wenye taaluma hizi huwa viongozi wazuri sana kwa sababu wana uelewa wa sheria na utawala kwa ujumla.
 
Kwani amekosea wapi hapo!? Kama huyu ajuza utopolo anaendesha nchi ndiyo ashindwe Mtatiro Julius!?
Na wewe mbumbumbu wa lugha ya Malkia siyo? Nendeni MEMKWA msituchoshe na broken English humu
 
Back
Top Bottom