TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

Apumzike kwa amani,tunamshukuru kwa huduma yake ya ulinzi kwa kiongozi wetu , asante pia kwa maisha yake binafsi na maisha ya familia yake, shukrani zote ni kwa Mungu, ajaliwe pumziko jema na ondoleo la kasoro za kibinadamu.
 
Huyu mzee kijana wake wa kiume namfaham vyema Dogo nlikuwa nae kitaaa tukaja kupotezana ila tukaja kukutana kwa Group , akamaliza chuo mara paap nikaja kumuona picha yake kavaa kaunda ikuul pale, kipindi cha magu nkajua tayari kashakuwa memba wa kijito, nikasena mtoto wa simba ni Simba aloo

Rip mzeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…