TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
kulikuwaga na member flani humu anajiita lukindo alikuwa na avatar picha flani ya ndege. Alikuwaga very active akapotea ghafla ni mda sasa, inaonekana alibadilisha jina ya id na avatar picha.
 
Kila nafsi itaonja umauti, apumzike kwa amani.
Ila natamani kujua ni vigezo gani vimetumika kujua yeye ndio alikuwa mlinzi mkuu?
Huwa inajulikana anaitwa Details Leader, ambaye kwenye convoy ya ulinzi wa rais yeye ndio mkuu na wanakuwa wawili wanapokezana. Ndani ni kipindi cha Magu walikuwa wawili pia, yule black na yule ostazi wa Rufiji
 
Back
Top Bottom