Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Dah ngoja nimcheki mwanae nimpe pole, alikuwa rafiki yangu sana kipind tuko chuo harakati za maisha zikatutenganisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshindwa kutaja!Jambo gani ambalo litaweza kukufurahisha wewe? Lina vipimo gani vya kukufurahisha wewe tulitafute?
Maana nisije kukutajia mambo kemkem kumbe wewe kivuruge tu nia yako kuwa negative kwa kila kitu.
Nimekuomba unitajie unataka standard gani ya kupimia uzalendo.Umeshindwa kutaja!
Unasema niko negative kwa kila kitu!
Mnataka msifiwe kwa lipi mlilofanya kwenye nchi dysfunctional kama hii ?
Kwani hapa Tanzania tuna kitu gani positive in modern history ?
Balozi mzalendo, mzalendo kwa lipi ? Balozi gani ?
Sasa dondoka sehemu yeyote ya nchi hii, mbabatize mtoto wa miaka 9, muulize, who is Mdude Nyagali, na kaifanyia nini nchi hii? Hawatakupa mythical narratives za "alimwambia Nyerere nataka kurudi kijijini kutoka ubalozini! Unataka kurudi kijijini ? Jiuzulu rudi kijijini!
Hao mabalozi woooote combined, hawawezi kufunga kamba za viatu za Mdude Nyagali, a virtual illiterate from the most deprived and despondent backwaters of the country, who has ceaselessly and valiantly stuck his neck out in the battle to upend the system of savage repression of your and my rights to petition the government for redress of grievances.
And this is the least common denominator of all.
Salim Ahmed Salim, the Great, is a fiction for the masses.
Mkuu,Kumbe wakifa wanaruhusiwa kuanikwa, maana maisha ya hawa jamaa ni kujificha ficha kila dakika.
Na wengine wakizeeka ni kupofuka
Hata wakati huu wa mama namuona yuko na Veronica na yule demu mwingine wa kizenji.Huwa inajulikana anaitwa Details Leader, ambaye kwenye convoy ya ulinzi wa rais yeye ndio mkuu na wanakuwa wawili wanapokezana. Ndani ni kipindi cha Magu walikuwa wawili pia, yule black na yule ostazi wa Rufiji
Yani huyo father ni mdogo wako? Una umri gani mkuu?Pumzika kwa aman mdogo wangu.. Nakumbuka mara ya mwisho kuonana ilikuwa dodoma huzuni kwa kweli..
Nimekuomba unitajie unataka standard gani ya kupimia uzalendo.
Umeshindwa kutaja. Standard. Hoja.
Unataja jina la mtu. Mdude.
Yani unaacha kujadiki h9ja, standards, principles, unataka kujadili Mdude.
Mdude Nyagali huyo aliyeshindwa kujua sexual espionage za a common whore tamaa za kudinya zikamtoa akili na zikamvulisha nguo hadharani watu wenye akili nchi nzima wakajua jamaa hafai kuwa kiongozi kwa sababu kashikwa kijinga na malaya wa kawaida tu?
Clearly we are not only not on the same page. We are not even reading the same book.
Yeye jambo lake ni siasa za kiipendelea chademaJambo gani ambalo litaweza kukufurahisha wewe? Lina vipimo gani vya kukufurahisha wewe tulitafute?
Maana nisije kukutajia mambo kemkem kumbe wewe kivuruge tu nia yako kuwa negative kwa kila kitu.
Sio ad hominem attack kama inahusu judgement katika uongozi, ni relevant character criticism.Ad hominem attacks !
Unashambulia maisha binafsi ya mtu na mahusiano yake na wanawake zake, na tamaa za kudinya (umalaya. Na kama Mdude Nyagali is a nobody, ni malaya hana lolote, kwa nini intelligence apparatus ya Tanzania ime revoke passport yake jana ???????????????????????????
Henry Kissinger kafa juzi, NY Times wameandika exhaustive eulogy alikuwa malaya.
Martin Luther King Jr. alikuwa malaya.
Peter the Great alikuwa malaya
JF Kennedy alikuwa malaya
Napoleon the First alikuwa malaya
Louis the 14th alikuwa malaya
King Solomon alikuwa malaya
Alexander the Great alikuwa malaya, and a homosexual!
Umalaya kamwe haujawahi kuwa kipimo cha uongozi.
Getting back to the brass tacks....
Hao mabalozi wooooote combined, hawawezi kufunga kamba za viatu vya Christopher Mtikila au Shehe Ponda Issa Ponda, ambae hajawahi kushika hata ofisi kata, hatujui hata kama kasoma, masikini wa Kinondoni Mtambani, ambae amepigwa risasi akipambana kufumua mifumo ya tawala dhalimu zinazotulazimisha kubakia kwenye u-third world.
Mabalozi makini na wazalendo wamewahi kufanya nini, wamesema nini, zaidi ya kumwambia Nyerere, Nyerere nataka kurudi kijijini ! hahahahahaaaaaaa
Kuna watu wengine wamekuja hapa kufanya social experiments tu.Yeye jambo lake ni siasa za kiipendelea chadema
Hii picha ya lini????Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
duuu...... umepeleka mashitaka kwa member mwingine kutafuta sympathy ?Nwamwambia, nipe basi kipimo chako cha uzalendo mjua?
Hapana, uskimbie na usitukane, ana hoja, jibu maswali yake hapa hapa,Sio ad hominem attack kama inahusu judgement katika uongozi, ni relevant character criticism.
Na just because so and so did it, that does not make it right.
Wewe ni fanboy mpumbavu usiye na standards, badala ya kuangalia standards na principles, unaangalia watu. Ndiyo maana hatuelewani.
That whoke namedropping, tge entire kist, is a logical non sequitur fallacy.
Nimekuuliza kipimo chako cha umakini au uzalendo ni kipi nikutafutie jibu litakalokuridhisha, hujanipa.
Inaonekana hata wewe mwenyewe hujui unataka nini, na mimi siwezi kukupa wewe kitu ambacho wewe hukijui.
Naona unani bore tu, nakupeleka ignore list. Sitaki majibizano ya shombo yasiyokuwa na standard wala muelekeo.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Hoja gani?Hapana, uskimbie na usitukane, ana hoja, jibu maswali yake hapa hapa,
Unataka kumkimbia?!!!
Ebo! Jibu hoja hapahapa
Balozi Ben Mashiba?Huyu hakuwa mlinzi mkuu. Mlinzi mkuu yupo ambaye wote ureport kwake. Alipewaga ubalozi.
apumzike kwa amani,tunamshukuru kwa huduma yake ya ulinzi kwa kiongozi wetu , asante pia kwa maisha yake binafsi na maisha ya familia yake, shukrani zote ni kwa Mungu, ajaliwe pumziko jema na ondoleo la kasoro za kibinadam
Kula mbususu wewe acha hao ma'bikra 72 ni mawazo ya akina sule na mazinge unaweza ishia kula patupuMimi, wewe pamoja na mtoa mada, tujiandae, tuhakikishe tunatengeneza maisha yetu kabla mwenye shamba hajaja kutuvuna!
RIP Kamanda