TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

Mwisho wa mwanadamu.
Mwanadamu kapewa mtihani mzito na Muumba wake
na vitakuwamo ambavyo nafsi zinavipenda na macho yanavifurahia …” (Kurani 43:71)

“Kuleni na mnywe kwa furaha kwa sababu ya mlivyo tanguliza katika siku zilizo pita!” (Kurani 69:24)

“… Humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi. Ni malipo bora hayo! Na matandiko mazuri mno ya kupumzikia!” (Kurani 18:31)

HAYA NI MAISHA YA WAISLAM SAFI BAADA YA KUONDOKA KTK HII DUNIA
 
Nimesoma andiko lako nilijua utaleta hoja za maana kumjibu Kiranga , ila nimegundua wewe ni debe tupu , ni mwanaharakati uchwara , na siasa za kipinzani

Mabalozi hao old school walikuwa mabalozi kweli na wazalendo kweli na sio wanaharakati kama Mdude Nyagali

Nyie Generation M , mna matatizo sana

..mabalozi walikuwa wazalendo.

..Mdude Nyagali naye ni mzalendo.

..kila mmoja ana mchango kulingana na eneo lake.

NB:

..binafsi sijaridhishwa na jinsi Salim Salim na Joseph Warioba kushindwa kupaza sauti wakati haki na utawala bora vikienda mrama. Hawa tuliambiwa ndio warithi vijana wa Mwalimu Nyerere. I expected a lot more from them.
 
mwache akimbie, kasema kani block, I am having a field day!

Tumepunguza msambazaji mmoja wa sifa za kichawa na kiongo za uzalendo na utumishi wa wastaafu. Balozi Lukindo, Balozi Nhigula... Everybody is like, balozi whooo??? How you say that name ?

Okay, do us a favor, will you ? Nobody ever heard of those jacks, hatuwafahamu, tusaidie, wamefanya nini cha uzalendo ili kusudi tuwatambue, tuwaenzi. Ume collapse! Ulilishwa indoctrination toka utotoni za kuenzi mabalozi!

Katika kutetea na kuomboleza damu za Watanzania waliotupwa kwenye viroba Coco Beach, na waliopokwa ardhi zao Mbarari, Tarime, na Loliondo, na kwenye kupinga tozo na vikokotoo vya kututia umasikini kapuku, Roma Mkatoliki amefanya mengi ya kizalendo kuliko mabalozi wote combined! Au, Ney wa Mitego, Rais wa Kitaa!

I mean, wastaafu wote wa Foreign Affairs combined hawawezi kufunga kamba za viatu vya Neyi wa Mitego, of all the people. Kwa saab hawajawahi ku risk pensheni zao kututetea kwa lolote. Balozi Lukindo anahitaji utambulisho. Ney wa Mitego, bila suti, bila tai, ulinzi, mshahara, V8 VX, bila sauti bungeni, msaidizi wala ofisi, is a household name! Rais wa Kitaa!

Kwa hiyo tuna wazalendo wetu tuliowaona kwa macho wakijitoa muhanga - sio wa pensheni, hawana pensheni, ila wa maisha yao - wakipinga raia kutekwa na Usalama wa Taifa na gestapo wa Jeshi la Polisi na kufia kwenye ma gullag vituoni. Usitutajie wastaafu ambao hawajawahi kutumia gravitas zao na diplomasia zao kutatua mgogoro hata wa shamba moja la kijiji dhidi ya mwekezaji. Wamekaa kwa adabu wanasubiri waingizwe kwenye mabodi na ma Tume ya Rais. Empty suits. Shame on them.
Kijana afadhali umetoa nyongo!
 
..mabalozi walikuwa wazalendo.

..Mdude Nyagali naye ni mzalendo.

..kila mmoja ana mchango kulingana na eneo lake.

NB:

..binafsi sijaridhishwa na jinsi Salim Salim na Joseph Warioba kushindwa kupata sauti wakati haki na utawala bora vikienda mrama. Hawa tuliambiwa ndio warithi vijana wa Mwalimu Nyerere. I expected a lot more from them.
Every generation has its own obligations assigned to it by the prevailing circumstances!
 
Kuna watu wengine wamekuja hapa kufanya social experiments tu.

Yani mtu anakuja anasema "ngoja niwanyee mavi hawa halafu niangalie uwezo wao wa kustahamili kunyewa mavi wao wakikubali tu kunyewa mavi".

Watu wa aina hiyo nawajua siku nyingi. Nisha deal nao sana. Wengi wana matatizo ya akili kutokana na frustrations zao za maisha, wanataka kuja kuzimalizia hapa.

Hawaelewi uzi ukiwekewa TAZIA maana yake nini. No home training, no grace, no manners at all.

Yani watu wanataka kuisema vibaya tu serikali bila context, hawajui nani civil servant, nani politician.Hawajui historia wala sacrifice za watu wengi wazuri waliofanya kazi ngumu katika mazingira mabaya sana ya Tanzania.

Wao wanaenda kama guluguja asiye na uti wa mgongo wala ubongo. Ukiwa umefanya kazi serikalini tu, basi wewe mshenzi huna maana yoyote. Hustahili sifa wala heko yoyote.

Ukiwa mpinzani malaya mbwa usiyejitambua, wewe mzuri tu, hata ufanye nini, mradi wewe mpinzani, wewe mzuri tu.

Upumbavu wa hali ya juu. Hawa wapinzani nyumbu ndiyo maana wanaendeshwa na CCM miaka nenda rudi, licha ya CCM kuwa na matatizo yake kibao. Most are very shortsighted and emotional people.

Hawa nawapeleka ignore list tu wala sina muda nao.

Anapapatikia upinzani kama vile upinzani umeanza leo, kwani upinzani hatuujui sisi?

Yani mtu kuwasifia mabalozi wakongwe waliokuwapo na kufariki/kustaafu ubalozi kabla hata vyama vingi havijaanza Tanzania ishakuwa nongwa?

Nwamwambia, nipe basi kipimo chako cha uzalendo na umakini niwaweke hawa mabalozi kwenye mizani nikupe tathmini yangu kwa kutumia kipimo ulichoridhika nacho wewe mwenyewe, maana sitaki kukupa kipimo changu ushaanza kuniona sina kipimo sahihi.

Mtu badala ya kunipa hicho kipimo chake, ananiambia Mdude Nyagali na Christopher Mtikila.

What a stupid fanboy!

Mtikila huyu huyu aliyehongwa pesa na CRDB akanyamaza asifanye fyoko au Christopher Mtikila gani?

Yeye unamjua Christopher Mtikila kuliko Monica Sozigwa anavyomjua?
Mkuu,
nadhani umemsoma tayari haina haja ya kutumia energy kubwa sana hata mimi ilinishangaza alivyoanza na habari za mdude ila ndipo tulipofikia. Kimsingi nadhani kama ulivyomuuliza akupe hizo standard ili aelezwe nilicho gundua hayupo tayari kuelewa, ni sawa tu na mtu anayekuuliza swali akiwa na majibu yake tayari na hayuko tayari kubadilisha huo mtazamo.
 
Asante kwa kunielewa mkuu.

Nimempeleka ignore list kashapoteza privilege ya kuwasiliana nami moja kwa moja.

Asije kuharibu zaidi uzi wa watu wa msiba hapa.
 
mwache akimbie, kasema kani block, I am having a field day!

Tumepunguza msambazaji mmoja wa sifa za kichawa na kiongo za uzalendo na utumishi wa wastaafu. Balozi Lukindo, Balozi Nhigula... Everybody is like, balozi whooo??? How you say that name ?

Okay, do us a favor, will you ? Nobody ever heard of those jacks, hatuwafahamu, tusaidie, wamefanya nini cha uzalendo ili kusudi tuwatambue, tuwaenzi. Ume collapse! Ulilishwa indoctrination toka utotoni za kuenzi mabalozi!

Katika kutetea na kuomboleza damu za Watanzania waliotupwa kwenye viroba Coco Beach, na waliopokwa ardhi zao Mbarari, Tarime, na Loliondo, na kwenye kupinga tozo na vikokotoo vya kututia umasikini kapuku, Roma Mkatoliki amefanya mengi ya kizalendo kuliko mabalozi wote combined! Au, Ney wa Mitego, Rais wa Kitaa!

I mean, wastaafu wote wa Foreign Affairs combined hawawezi kufunga kamba za viatu vya Neyi wa Mitego, of all the people. Kwa saab hawajawahi ku risk pensheni zao kututetea kwa lolote. Balozi Lukindo anahitaji utambulisho. Ney wa Mitego, bila suti, bila tai, ulinzi, mshahara, V8 VX, bila sauti bungeni, msaidizi wala ofisi, is a household name! Rais wa Kitaa!

Kwa hiyo tuna wazalendo wetu tuliowaona kwa macho wakijitoa muhanga - sio wa pensheni, hawana pensheni, ila wa maisha yao - wakipinga raia kutekwa na Usalama wa Taifa na gestapo wa Jeshi la Polisi na kufia kwenye ma gullag vituoni. Usitutajie wastaafu ambao hawajawahi kutumia gravitas zao na diplomasia zao kutatua mgogoro hata wa shamba moja la kijiji dhidi ya mwekezaji. Wamekaa kwa adabu wanasubiri waingizwe kwenye mabodi na ma Tume ya Rais. Empty suits. Shame on them.
Haya ni madini.
 
Huyu mzee kijana wake wa kiume namfaham vyema Dogo nlikuwa nae kitaaa tukaja kupotezana ila tukaja kukutana kwa Group , akamaliza chuo mara paap nikaja kumuona picha yake kavaa kaunda ikuul pale, kipindi cha magu nkajua tayari kashakuwa memba wa kijito, nikasena mtoto wa simba ni Simba aloo

Rip mzeee
Ndio maana kitengo kimekuja kuwa Cha hovyohovyo.... Kwa SABABU ya kamlete...
 
Back
Top Bottom