Hapana, uskimbie na usitukane, ana hoja, jibu maswali yake hapa hapa,
Unataka kumkimbia?!!!
Ebo! Jibu hoja hapahapa
mwache akimbie, kasema kani block, well I am having a field day!
Tumepunguza msambazaji mmoja wa sifa za kichawa na kiongo za uzalendo na utumishi wa wastaafu. Balozi Lukindo, Balozi Nhigula... Everybody is like, balozi whooo??? How you say that name again?
Okay, do me favor, will you ? Nobody ever heard of those jacks, hatuwafahamu, tusaidie, wamefanya nini cha uzalendo ili kusudi tuwatambue, tuwaenzi. Ume collapse! Ulilishwa indoctrination toka utotoni za kuenzi mabalozi! For nothing!
Katika kutetea na kuomboleza damu za Watanzania waliotupwa kwenye viroba Coco Beach, na waliopokwa ardhi zao Mbarari, Tarime, na Loliondo, na kwenye kupinga tozo na vikokotoo vya kututia umasikini kapuku, Roma Mkatoliki amefanya mengi ya kizalendo kuliko mabalozi wote combined! Au, Ney wa Mitego, Rais wa Kitaa!
I mean, wastaafu wote wa Foreign Affairs combined hawawezi kufunga kamba za viatu vya Neyi wa Mitego. Kwa saab hawajawahi ku risk pensheni zao kututetea kwa lolote. Balozi Lukindo anahitaji utambulisho. Ney wa Mitego, bila suti, bila tai, ulinzi, mshahara, V8 VX, bila sauti bungeni, msaidizi wala ofisi, is a household name! Rais wa Kitaa!
Kwa hiyo tuna wazalendo wetu tuliowaona kwa macho wakijitoa muhanga - sio wa pensheni, hawana pensheni, ila wa maisha yao - wakipinga raia kutekwa na Usalama wa Taifa na gestapo wa Jeshi la Polisi na kufia kwenye ma gullag vituoni. Usitutajie wastaafu ambao hawajawahi kutumia gravitas zao na diplomasia zao kutatua mgogoro hata wa shamba moja la kijiji dhidi ya mwekezaji. Wamekaa kwa adabu wanasubiri waingizwe kwenye mabodi na ma Tume ya Rais. Empty suits. Shame on them.