duuu...... umepeleka mashitaka kwa member mwingine kutafuta sympathy ?
hahahahahaaaaa
mmezoea kutudanganya na ma historia ya uongo na uchawa kuhusu viongozi wa nchi hii.
Balozi karudi nyumbani 1995, ana masifa kibao ya udiplomasia nguli sijui OAU huko. Hapa nyumani tuna masaibu na madhila kibao yanayohitaji intervention ya elder statesman lakini kajifungia kimya tuliii, hawajalli kutatua hata mgogoro wa shamba la jirani. Ungedhani hawa ndio watusemee pale polisi wanapohujumu uchaguzi, TANAPA wakiua wanavijiji, usalama wakiteka raia, kwa uzito walio nao mbele ya mamlaka za nchi.... lakini wapi, zip, nothing, good for nothing....
I mean, give the devil his due, Paul Makonda katatua matatizo mengi ya migogoro ya ardhi kuliko migogoro yote iliyotatuliwa na mabalozi wote combined!
Makini na mzalendo na balozi mkongwe, give me a freaking break, mzalendo kwa lipi ????????