kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Tz wanaokufa niwengi nawote niwatu muhimu so woote tunawaombea kheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAIFAI KUSEMA R.I.P SI MAFUNDISHO YETU KATIKA UISLAMNi chaguo la mtu. Dini ipo na uamuzi wa mtu upo pia. Kwa hiyo mtu kutamka vile apendavyo bado ni uhuru wake .
Duh unataka watu waishi kilofa mzeeBalozi Lukindo aliagiza benzi lina chapa za jina lake kutoka kiwandani Ujerumani ?
Wait a minute, hold up! Mlisema alikuwa Mzalendo makini, kipenzi cha Julius Nyerere, the most modest statesman in all of African history, akaomba apewe kazi kijijini kutoka ubalozini Italia, yani mfano nadra wa maisha ya chini, na unyenyekevu, sasa anaagiza mabenzi custom made. Tushike lipi ?
Kuna siku Pombe Magufuli, give the devil his due, aliwakomba maofisa wa Foreign Affairs, kwenye msafara wake Uleling'ombe na Mbigiri Kilosa ndani ndani huko, halafu akamwambia Waziri Kabudi, utabaki hapa kutatua hizi kero. Foreign Affairs na misafara ya ndani wapi na wapi ?
Hayati Magufuli, mpeni shetani sifa zake, kumbe aliona hawa Foreign Affairs wanapoenda nje labda hata hawajui malengo ni nini. Akataka wajue wanaenda kushughulikia agenda za maisha ya akina nani.
View attachment 2890386
Maisha ya watu dirt-poor, dog-sick, dying hungry, masikini wachafu, kapuku wa kutupwa.
Sasa kama unasifia balozi wa third world kujiagiza benzi custom made, kwa kipato cha ujanja ujanja serikalini, unaona ni poa, then you are a piece of dookie. Ndo maana tunawalaani, tunawakataa.
Binti wa Mwakipesile Mbarikiwa, aliyetiwa nguvuni kwa kutunga battle cry ya "Mnatuona Nyani Tu," na kumnyooshea kidole Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kwa utekaji na mauaji ya wakosoaji, amefanya makubwa kuliko mabalozi wote combined!
Her father, Rev. Mwakipesile Mbarikiwa, a country bumpkin who owns a church without a building, and currently rotting in jail for his relentless condemnation of injustice and corruption, not least the give-away port deal with Dubai investors, has done more for the country than the empty suits of retired diplomats, all combined! Nobody knows Balozi Lukindo. Mwakipesile Mbarikiwa is a household name! Again and again, these are our heroes, forever and a day.
Sawa sio mafundisho lakini huo bado ni Uhuru wa mtu kusema vile impendezavyo.HAIFAI KUSEMA R.I.P SI MAFUNDISHO YETU KATIKA UISLAM
Sawa sio mafundisho lakini huo bado ni Uhuru wa mtu kusema vile impendezavyo.
..binafsi sijaridhishwa na jinsi Salim Salim na Joseph Warioba kushindwa kupaza sauti wakati haki na utawala bora vikienda mrama.
Labda ni yeyekulikuwaga na member flani humu anajiita lukindo alikuwa na avatar picha flani ya ndege. Alikuwaga very active akapotea ghafla ni mda sasa, inaonekana alibadilisha jina ya id na avatar picha.
Wanageuka chawaMtoto wa shule Abdul Nondo amefanya mengi ya kuisema na kupigania nchi yake kuliko mabalozi wetu down the tortured history of this country, all combined!
Inaonekana ni wahamiaji wakongwe kama akina Mhando wapo Tanga na ubenani, akina Mgaya wapo Tanga na ubenani piaWasambaa kwa sana, nilikuwa sijui kama kuna Lukindo wapare.
Na kimwaga pia, tanga na unyamwezini. Hawa waliletwa na wakoloni kama manamba wa kulima mkongeInaonekana ni wahamiaji wakongwe kama akina Mhando wapo Tanga na ubenani, akina Mgaya wapo Tanga na ubenani pia
Eti ' Nyerere nataka kurudi kijijini' 😀😀😀 .Ad hominem attacks !
Unashambulia maisha binafsi ya mtu na mahusiano yake na wanawake zake, na "tamaa zake za kudinya," (umalaya). Na kama Mdude Nyagali ni malaya, a nobody, na hana lolote, kwa nini intelligence apparatus ya Tanzania ime revoke passport yake jana ???????????????????????????
Henry Kissinger kafa juzi, NY Times wameandika exhaustive eulogy, alikuwa malaya.
Martin Luther King Jr., mchungani mpigania haki Marekani, alikuwa malaya.
Peter the Great alikuwa malaya
JF Kennedy alikuwa malaya
Napoleon the First alikuwa malaya
Louis the 14th alikuwa malaya
King Solomon alikuwa malaya
Alexander the Great alikuwa malaya, and a homosexual!
Umalaya kamwe haujawahi kuwa kipimo cha uongozi mzuri au mbaya.
Getting back to the brass tacks....
Hao mabalozi wooooote combined, hawawezi kufunga kamba za viatu vya Christopher Mtikila au Shehe Ponda Issa Ponda, ambae hajawahi kushika hata ofisi kata, hatujui hata kama kasoma, masikini wa Kinondoni Mtambani, ambae amepigwa risasi akipambana kufumua mifumo ya tawala dhalimu inayotulazimisha kubakia kwenye u-third world.
Mabalozi makini na wazalendo wamewahi kufanya nini, wamesema nini, zaidi ya kumwambia Nyerere, "Nyerere nataka kurudi kijijini" Okay, rudi kijijini, the Devil may care ! hahahahahaaaaaaa
Uhuru ni wa mtu binafsi. Hiyo dini ni uhuru wa mtu kuifata au kutoifata. Hiyo Sio sheria ya nchi.Uhuru ni upande wenu
Uhuru ni wa mtu binafsi. Hiyo dini ni uhuru wa mtu kuifata au kutoifata. Hiyo Sio sheria ya nchi.
Hata Mdogo wake naye Chad Lukindo alikuwa mtu powa sana.Kuna yule R.Lukindo slikuwaga balozi Japan yule mzee alikuwa mtu poa sana sema naye (RIP)
Ova
👍Na kimwaga pia, tanga na unyamwezini. Hawa waliletwa na wakoloni kama manamba wa kulima mkonge
Yes, correct. Nimelisema hilo miaka 20 na zaidi. Salim Ahmed Salim is an over-rated, good-for-nothing douche bag who rode on Julius Nyerere's diplomatic coattails.
Muondoe Sinde Warioba kwenye sentensi moja na Salim Ahmed Salim, tema mate chini, na ututake radhi. Sinde Warioba is a towering royalty in the pantheon of greatest patriots down the history of this country. Aliweka pensheni yake rehani na mwili wake na heshima zake, akakataa uchawa kwa watawala, akamvimbia Pombe Magufuli na Jakaya Kikwete japo walimpa cheo na ulaji wa kuongoza tume ya katiba ya watu. Every man has a price, there wasn't enough money in the country to buy Sinde Warioaba. True icon.
View attachment 2892464
Lakini hapa sikutaka kuwatumia statesmen kama Warioba kuwapima mabalozi wastaafu na ma douche bags. Nimewalinganisha na the least common denominator ili kuonyesha jinsi mabalozi na wastaafu walivyo madebe matupu, empty suits. Good for nothing!
Unaposema kila mtu anafanya uzalendo kwa nafasi yake, okay, balozi mstaafu ni raia huru kama hawa raia wa kawaida, amefanya nini kwenye nafasi yake? Tuna ma existential crisis, matatizo meeengi yanayohitaji kusemewa, kukemewa, kuchambuliwa. Unashindwaje advocacy and patriotism na Abdul Nondo mtoto wa chuo, of all the people ?
1961 Salim Ahmed Salim anateuliwa na Karume kuwa balozi Havana. 1964 anateuliwa na Nyerere kuwa balozi Cairo. Pombe Magufuli, aliyezaliwa 1959, alikuwa kichanga kinanyonya in 1961 wakati wewe tayari unakaa meza moja na Fidel Castro ku present credentials and proposals za Julius Nyerere kwa matatizo ya dunia, leo unamwogopa Magufuli. Abdul Nondo hamwogopi! Where are your freaking balls ?
Ndo maana unaposema Balozi Lukindo ni mzalendo makini, balozi Nhigula, everybody is like Balozi whoooo ? Nobody knows those yokels. Mtoto wa shule Abdul Nondo amefanya mengi ya kuisemea na kupigania nchi yake kuliko mabalozi wetu down the tortured history of this country, all combined!
View attachment 2892480
WANATUONA nyaniWanageuka chawa