Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Loyalty π¨π¨πππMiongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi.
πLoyalty π¨π¨πππ
Gwiji kabisaDuh kumbe leo nimetimiza 16yrs humu JF, hakika sasa uzee unaninyemelea.
Duh kumbe leo nimetimiza 16yrs humu JF, hakika sasa uzee unaninyemelea.
mwaka wako wa,kujoin humu mimi nilikua darasa la pili π π π π ila kwa kua hatufahamiani utanikuta mahali nakufokeaπ€£π€£π€£ plus maneno ya kukwambia acha utotoDuh kumbe leo nimetimiza 16yrs humu JF, hakika sasa uzee unaninyemelea.
ok sawaMiongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi.
KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA
Jamaa amepata umaarufuMiongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi.
KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA
Hahahahahaha nimecheka sana sana aiseeeeemwaka wako wa,kujoin humu mimi nilikua darasa la pili π π π π ila kwa kua hatufahamiani utanikuta mahali nakufokeaπ€£π€£π€£ plus maneno ya kukwambia acha utoto
Nilijiunga hapa Binti yangu akiwa na miaka minne, leo hii yuko Chuo mwaka wa Pili. Home of great thinkersTime inakimbia sio poa, kama ni binti kashaolewa mkuu. π
Huyu mwamba sijui sasa hivi kapewa majukumu gani. Labda yuko ofisini kijitonyama.Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi.
KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA
2008 upo la pili π πmwaka wako wa,kujoin humu mimi nilikua darasa la pili π π π π ila kwa kua hatufahamiani utanikuta mahali nakufokeaπ€£π€£π€£ plus maneno ya kukwambia acha utoto
si ndioπ€£π€£π€£π€£2008 upo la pili π π
GoodJamaa amepata umaarufu