Aliyekuwa mlinzi wa hayati Magufuli yupo Chato kwenye kumbukizi

Aliyekuwa mlinzi wa hayati Magufuli yupo Chato kwenye kumbukizi

Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi.

KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA


Picha hii akiwa kazini enzi za uhai wa Rais Magufuli
Safari hii wote wameamua kwenda Chsto baada kupuuza kwa miaka mitatu. Je kulikoni?
 
Back
Top Bottom