AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
GoodHuyu mwamba sijui sasa hivi kapewa majukumu gani. Labda yuko ofisini kijitonyama.
GoodHuyu mwamba sijui sasa hivi kapewa majukumu gani. Labda yuko ofisini kijitonyama.
Mhmm si juzi tu hapa🤣 kweli nakaribia kufa🥲si ndio🤣🤣🤣🤣
RAS2008 upo la pili 😅😅
Mimi na wewe tupo sawa🤣🤣😂Duh kumbe leo nimetimiza 16yrs humu JF, hakika sasa uzee unaninyemelea.
Kipindi ukijiunga ulikua bado shule?Mimi na wewe tupo sawa🤣🤣😂
Uzee is real
mi mwenyew najishangaa nilikua mdogo juzi na kumbukumb zote za utotoni ninazo,, ila saivi naitwa mshangazi😭 ni huzuniMhmm si juzi tu hapa🤣 kweli nakaribia kufa🥲
RAS huyo huku hawezi kuwa nyoka tena alishaonekana katika jamiiHuyu mwamba sijui sasa hivi kapewa majukumu gani. Labda yuko ofisini kijitonyama.
Ukiwa la pili nipo chuo 🤣mi mwenyew najishangaa nilikua mdogo juzi na kumbukumb zote za utotoni ninazo,, ila saivi naitwa mshangazi😭 ni huzuni
We mpumbavu wa juzi tuu 2023Aisee,ndevu zangu mbili naona zimekuwa nyeupe. Uzee upo karibu
alooooo🤣🤣🤣 saizi ya kaka angu mkubwa, sio mbaya kiiivyoUkiwa la pili nipo chuo 🤣
Duuuuh! 😳 Kaka, mbona umefika mbali sana? 🙆Ndo yule anatoa mbwa sana chuo?
Chuo 3rd yr of 4yrKipindi ukijiunga ulikua bado shule?
Basi umenipita labda mwaka mmoja tu mkuu🤣Chuo 3rd yr of 4yr
HakikaMimi na wewe tupo sawa🤣🤣😂
Uzee is real