Joshua Mbezi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 1,994 Reaction score 4,446 Mar 17, 2026 #41 Unaonaje tuzungumze uwe Baba mkwe? Determinantor said: Nilijiunga hapa Binti yangu akiwa na miaka minne, leo hii yuko Chuo mwaka wa Pili. Home of great thinkers Click to expand...
Unaonaje tuzungumze uwe Baba mkwe? Determinantor said: Nilijiunga hapa Binti yangu akiwa na miaka minne, leo hii yuko Chuo mwaka wa Pili. Home of great thinkers Click to expand...
The Khoisan Platinum Member Joined Jun 5, 2007 Posts 18,900 Reaction score 18,751 Mar 17, 2026 #42 Waufukweni said: Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi. KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA View attachment 3559035 View attachment 3558969 Picha hii akiwa kazini enzi za uhai wa Rais Magufuli View attachment 3559037 Click to expand... Safari hii wote wameamua kwenda Chsto baada kupuuza kwa miaka mitatu. Je kulikoni?
Waufukweni said: Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi. KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA View attachment 3559035 View attachment 3558969 Picha hii akiwa kazini enzi za uhai wa Rais Magufuli View attachment 3559037 Click to expand... Safari hii wote wameamua kwenda Chsto baada kupuuza kwa miaka mitatu. Je kulikoni?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 17, 2026 #43 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
I Iron dome JF-Expert Member Joined Nov 10, 2023 Posts 1,245 Reaction score 3,553 Mar 17, 2026 #44 The Khoisan said: Safari hii wote wameamua kwenda Chsto baada kupuuza kwa miaka mitatu. Je kulikoni? Click to expand... Waliamini wanaweza kumfuta JPM....wametepeta wenyewe
The Khoisan said: Safari hii wote wameamua kwenda Chsto baada kupuuza kwa miaka mitatu. Je kulikoni? Click to expand... Waliamini wanaweza kumfuta JPM....wametepeta wenyewe