TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

Ujue huwa nachanganya huyu Baragaza na yule Fredwaa... aisee kidogo niseme sasa amekufa mara ya pili

Hata kule kwa Fredwaa komenti yangu niliandika Mambo Mambo Na Vodacom (nikikusudia) nikidhani ni huyu Baragaza
 
May His soul rest in Peace [emoji120]
 
Delta inaupiga mwingi sana,huwezi jua kesho zamu yangu
 
Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi. Lakini picha inaonyesha kama alikuwa mteja wa ushauri nasaha. Mtumiaji wa kunde
Duu kweli pic walete nyingine maana hata mie nishamuona japo ni muda mrefu Dstv nayo inatukosesha local
Lakini hicho ulichosema sio huwezi mtambua mtu kwa macho, na omba Mungu dunia duara hii, usimsemee mtu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alikuwa na kipindi 'jee huu ni uungwana?' basi aliiga kutoka kwa Leonard Mambo wa Sauti ya Kenya. Kipindi chake hicho kilikuwa kikirushwa kila jumapile saa saba kasorobo.
Leonard Mambo Mbotela.....jamaa aliyetangazaga Kupinduliwa kwa serekali ya kenya 1982.....Chini ya kamanda wa kijeshi Ezekiel Ochuka
 
Baada ya
Delta
Lambard itakuwa released
Baadae......
 
Pumzika kwa amani juma dah! [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom