TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

Wakati corona inaanza, tulishuhudia baadhi ya Wadau hasa wanasiasa na baadhi ya wataalam wa afya wakihusisha kila kifo na corona. Ni Kama heart failure na matatizo mengine ya kudumu yanayoua watu yalisimama kwa muda kupisha wadudu wa corona waue kwanza. Sasa tunaanza kuona raia nao wakihusisha vifo vya wagonjwa waliochanjwa Chanjo ya corona na Chanjo hiyo huku wapiga debe wa Chanjo (wanasiasa na wataalam wa afya) wakijitetea kuwa vifo hivyo havihusiani na Chanjo hiyo.
Kweli nimeamini kulia kupokezana.
 
R.I.P
Sijawahi ona picha yake, nilianza kumsikia mda sana kipindi naamka asubuhi kwenda shule, mi nikajua kwa sasa atakua kibabu kumbe bado kabisa.
 
Leonard Mambo alikuwepo miaka ya mwisho wa sitini mpaka sabini.
Huyu Leonard Mambo Mbotela wa KBC idhaa ya taifa ndio alikuwa mwenye kipindi cha je, huu ni uungwana.
Kuna mwaka alikuwa akiendesha kipindi studio kumbe serikali imepinduliwa na yeye hajui.
Jamaa ghafla wakaingia studio huku akiwa ON AIR na wakamwamlisha aitangazie nchi kwamba imepinduliwa.
 
Back
Top Bottom