Aliyekuwa muigizaji wa Isindigo maarufu kwa jina la Letti Matabhane Afariki

GOKILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
632
Reaction score
438
Lesego Motsepe aliekuwa mwigizaji katika tamthiliya ya Isidingo amefariki ghafla leo saa tano asubuhi nyumbani kwao huko Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 40.Lesego aliyekuwa anaigiza kama Letti Matabane kwenye tamthiliya hiyo alijitangaza rasmi mwaka 2011 kuwa ni mwathirika wa HIV/AIDS.Akitangaza desemba ,2011 kuwa yeye ni mwathirika ,alisema aligundulika kuwa ni mwathirika na amekuwa akiishi na virusi hivo tokea akiwa na umri wa miaka 23 ambao ulikuwa ni mwaka 1997.R.I.P LETTI.UPHUMLE NGOXOLO SISI.


 
R.I.P Letti

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Too sad. RIP letti

Sent from my GT-S6102 using Tapatalk 2
 
akili yangu ilinipeleka kwa nandipa kumbe sio. hivi nandipa na yule bwana wake mwenye dreadlocks mtoto wa matabane wako wapi siku hizi?
 
hata mimi nilidhani nandipha.. hiyo picha ndio imenikumbusha. gone too soon. rip.
 
Huyu dada alishafikisha 40!!! Dah inasikitisha!
 
Alale pema peponi Letti Matabane...

Pia thanx to ITV....umaarufu wake kwa watanzania ni kwa sababu ya itv kuwepo hewani mapema....
 
Alikuwa talented and very beautiful huyu dada! Purely African lady.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…