Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndo Nandipha matabane aliekua pia akiitwa Leti matabane.mbona picha ziko tofauti ama mambo ya calolite?.
![]()
Na Nandipha ni +? I see, kunahitajika nguvu ya ziada kupambana na hili janga.
Isidingo ya lini? Sikuwahi kuona Nandipha akiitwa Letti?
Jamani, kumbe alikuwa anamaanisha kuhusu serostatus yake? Nilidhani anaigiza tu.