Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Nusrat Hanje avaa sare ya CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.

Screenshot_2023-10-16-21-32-06-1.png

Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.

Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.

Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
 
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.

View attachment 2783997

..Huku sasa ni kutumikishwa vibaya.
 
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.

View attachment 2783997
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.

Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.

Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
Yaani wewe wivu utakuua😂
 
Huwezi kufumwa mbele ya umati wa watu, mtu anafumwa hukoooo vichochoroni au chobingo

Kama ni mbele ya hadhira tena kwenye tukio la kitaifa ukiachilia mbali hometown ambako kila raia anakujua, basi tambua hilo ni kusudio, kwa kifupi bado hamjasema na mtasema ni lazima mseme
 
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.

View attachment 2783997
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.

Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.

Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
nabii anaumia mtu kuwa huru na kutumia haki yake atakavyo 😂
 
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.

View attachment 2783997
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.

Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.

Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
Duuh hata siamini nachoona. Hivi ni huyu "Nusrat binti chadema" aliyekua chadema lia lia kipindi anazunguka na kamanda mawazo kanda ya ziwa kujenga chama?

Aisee kweli "politics" is a game of opportunities.
 
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.

View attachment 2783997
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.

Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.

Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
Siasa na mungu vitu tofauti siasa yote ina ushetani mkubwa tu imejaa wizi , uchawi kuuwana fitina , kubebana usitegemee mungu aingilie vita ya mashetani , hii ni vita ya walafi hii nafasi ya hanje akiikosa anaweza pewa demu wa mbowe na hakuna mtunwa kuhoji , siasa achana nazo usimuingize mungu kwenye mambo ya hovyo
 
Back
Top Bottom