Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa mkuu ndo tatizoHivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.
View attachment 2783997
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.
Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.
Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
Ukivaa kijani lazima upendeze maana uhakika wa kula upo.Kapendeza..
Hili suala la aibu kwa mhiimili wa mahakama ……., watu ambao ushahidi wa wadi unaonyesha kuwa hawapo tena kwenye Chama wanachodaiwa kuwakilisha…ingekua vyema mahakama ingeruhusu tu Chadema wapeleke wabunge wengine hasa kwa hawa ambao kuna ushahidi wa wazi kuwa wanatumikia ccm…Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.
View attachment 2783997
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.
Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.
Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
Na watakuwa wa Bongo ni bongolala!!Wanasiasa wa bongo ni wachumia tumbo tu.
Na ni mbeautiful pia 🤣🤣Kapendeza..
Ni kama kudhalilishwa..Huku sasa ni kutumikishwa vibaya.
Hakuna tajiri mwenye wivuYaani wewe wivu utakuua😂
Huyu tangu pale mahakamani alipokua anapelekewa moto na wakili kibatala..ameona bora ajisalimishe kwa Shetani CCM mapema
Shauri yako😂Hakuna tajiri mwenye wivu
Shetani hajawahi kumshinda MunguSiasa na mungu vitu tofauti siasa yote ina ushetani mkubwa tu imejaa wizi , uchawi kuuwana fitina , kubebana usitegemee mungu aingilie vita ya mashetani , hii ni vita ya walafi hii nafasi ya hanje akiikosa anaweza pewa demu wa mbowe na hakuna mtunwa kuhoji , siasa achana nazo usimuingize mungu kwenye mambo ya hovyo
Sasa hapo mungu msaidie nani wote wachafu si chadema si ccmShetani hajawahi kumshinda Mungu
Mkuu ujinga huu upo TZ tuu, kwingine ambako watu wako seriously hawawezi kuishi na watu ndumila kuwili.Duuh hata siamini nachoona. Hivi ni huyu "Nusrat binti chadema" aliyekua chadema lia lia kipindi anazunguka na kamanda mawazo kanda ya ziwa kujenga chama?
Aisee kweli "politics" is a game of opportunities.
Wanasiasa wote ni wachunia tumbo mkuu AtotoWachumia tumbo.
Profesa Ibrahim Juma ataingia kwenye vitabu vya historia kama CJ bogus kupata kutokea na kuruhusu mahakama kuwa vijiwe vya kufanya mambo ya hovyo kabisa.Hili suala la aibu kwa mhiimili wa mahakama ……., watu ambao ushahidi wa wadi unaonyesha kuwa hawapo tena kwenye Chama wanachodaiwa kuwakilisha…ingekua vyema mahakama ingeruhusu tu Chadema wapeleke wabunge wengine hasa kwa hawa ambao kuna ushahidi wa wazi kuwa wanatumikia ccm…